Tuko tayari kwenda Israel kuilinda Iwapo tutahitajika

Wanasema dini ama udini ni bhangi inayoharibu bongo pamoja na roho za watu wengi duniani.

Mi huwa nikisoma maandishi kama haya nabakia tu kusema: 'iiiiii! gasawa!'

Hivi dunia ya sasa, watu walivyostaarabika na kuelimika, waweza eneza chuki za wazi za kidini na kikabila, kwa faida ya nani?

Utapata nini wewe kushinda ama kushindwa kwao?

Utakatifu ama uteule wao wewe unakuhusu nini?

Ujue hata Marekani huwa hawaiingii vita yoyote kichwa kichwa bila kuyaona maslahi yao ya moja kwa moja ama ya kimkakati, sasa wewe hii ya wazayuni na wafilisti inakuhusu nini?

Mwaka 86' tukiwa vijana wabichi wakati wa utawala wa Alhaji Mwinyi tuliletewa propaganda za ajabu ajabu kuhusu magaidi ya Msumbiji yaliyokuwa yamejizatiti Zambezia province, kwamba: 'ni busara jirani mbaya ukapigana naye nje ya nyumba ili kumzuia asiweze ingia ndani na kukusababishia hasara ya samani zako', hivyo vijana twendeni.

Yaliyotokea huko yamesababisha hadi leo wengine tunashika key board kwa kugugumia!

Huwa nikiona mtu yeyote mwenye kuhamasisha vita ama machafuko ya umwagaji damu yasiyokuwa na manufaa kwa taifa lake humuona kama hamnazo flani'ivi.
JESUS FIRST JESUS FOREVER

HUNIAMBII KITU KUHUSU YESU NA ISRAEL
 
Inakuwaje wanajamvi,

Iwapo Taifa teule takatifu la Mungu pekee wa Kweli ikituhitaji tuko tayari.

Nikiwakilisha watetea wayahudi upande wa Afrika Mashariki natuma ujumbe wa wazi kwa Netanyahu asisite endapo atahitaji msaada wetu.

Tutakuja kwa uwingi wetu na tutalizunguka taifa teule kama human shield. Tuko radhi kufa hili utakatifu pekee uliosalia duniani uendelee kutamalaki.

Jiulize kwa nini Mungu mwenyewe Yesu aliamua kujibadilisha kupitia kwa wayahudi kwa nini siyo jamii nyingine? Tuko tayari kuitetea Israel.

Hatuna utani wa hili jambo kwa sababu ni tunu na mibaraka kwa familia yako pia hata tu kule kuwaza kuilinda Israel.

Israel ni ya kulindwa kwa nguvu zote.

ISRAEL THE LAND JEWS THE PEOPLE

View attachment 1784698
Chawa katika ubora wake
 
Chawa katika ubora wake
Bora kuwa chawa kulitetea taifa teule takatifu kuliko kutokuwa chawa kulitetea taifa lengine uchwara.

Huniambii kitu kuhusu YESU na Israel
IMG_20210514_183742.jpg
 
Back
Top Bottom