Tuko kati ya janga,tuwe na moyo wa kishujaa. Hakuna kuhitaji lockdown tuchukue tahadhali kitalaamu

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,086
6,568
Direct kwenye mada;

Kama kuna mtu ana dalili za Covid 19 apimwe na akiwa positive atengwe. Wasiachiwe ndugu kumtibu na kueneza ugonjwa zaidi.

Contact tracing ifanyike kubaini kama waliokuwa na muathirika nao wamepata maambukizi.

Kujitenga kufanyike kwa umakini hata kwenye majumba ya watu. Huku elimu kwa umma ikitiliwa mkazo. Maana elimu kwa umma ni muhimu.

Kunawa mikono,kutumia sanitizer kama hakuna maji na kuvaa barakoa iwe mandatory kwenye umma.

Muhimu pia kama ilivyokuwa mwaka jana kila wilaya itenge kituo maalumu cha matibabu.

Mwisho na muhimu kabisa ni kuanzisha tiba ya kisaikolojia kwa watanzania kupitia luninga kutoa watu hofu. Maombi na sara kwa nguvu kubwa. Tunaenda kushinda kwa nguvu ya Mungu.
 
Umeandika mambo mazuri sana lakini Serekali yako pendwa imepuuza yote uliyoandika hapo!Ndiyo maana huwa tunasema kuwa CCM hawana akili kabisa ni kama wamelaaniwa vile.Nakuhakikishia kuwa kwenye hii ghost government ambayo imekataa hadi chanjo, Corona inaenda kuipindua serekali iliyopo madarakani kwa kupukutisha viongozi wake wote.Nadhani baada ya hapo ndipo kila mtu akili itakaa sawa.
 
Direct kwenye mada;
Kama kuna mtu ana dalili za Covid 19 apimwe na akiwa positive atengwe. Wasiachiwe ndugu kumtibu na kueneza ugonjwa zaidi.

Contact tracing ifanyike kubaini kama waliokuwa na muathirika nao wamepata maambukizi.

Kujitenga kufanyike kwa umakini hata kwenye majumba ya watu. Huku elimu kwa umma ikitiliwa mkazo. Maana elimu kwa umma ni muhimu.

Kunawa mikono,kutumia sanitizer kama hakuna maji na kuvaa barakoa iwe mandatory kwenye umma.

Muhimu pia kama ilivyokuwa mwaka jana kila wilaya itenge kituo maalumu cha matibabu.

Mwisho na muhimu kabisa ni kuanzisha tiba ya kisaikolojia kwa watanzania kupitia luninga kutoa watu hofu. Maombi na sara kwa nguvu kubwa. Tunenda kushinda kwa nguvu ya Mungu.

Serikali bado haitambui uwepo wa corona....
 
Imekuwaje?
yaani wakulungwa wote wameweka akili/ bongo zao hapo kwenye pipa na kukabidhi
halafu Corona ndio kavamia ofisi kasema jifiche sina madhara, kumbe karudi tena kipindi kingine sasa hana mchezo
ndivyo mchoraji Gado anavyoiona TZ yetu
 
Natamani korona ianze na hao vigogo ikulu ili wajue kuwa nyungu ni ujinga ilioanzishwa na mjibga mmjoa ....

Nchi inaamini miti shamba kama waganga wa kienyeji ,wakati huo wakisomesha madaktari ....
 
Direct kwenye mada;
Kama kuna mtu ana dalili za Covid 19 apimwe na akiwa positive atengwe. Wasiachiwe ndugu kumtibu na kueneza ugonjwa zaidi.

Contact tracing ifanyike kubaini kama waliokuwa na muathirika nao wamepata maambukizi.

Kujitenga kufanyike kwa umakini hata kwenye majumba ya watu. Huku elimu kwa umma ikitiliwa mkazo. Maana elimu kwa umma ni muhimu.

Kunawa mikono,kutumia sanitizer kama hakuna maji na kuvaa barakoa iwe mandatory kwenye umma.

Muhimu pia kama ilivyokuwa mwaka jana kila wilaya itenge kituo maalumu cha matibabu.

Mwisho na muhimu kabisa ni kuanzisha tiba ya kisaikolojia kwa watanzania kupitia luninga kutoa watu hofu. Maombi na sara kwa nguvu kubwa. Tunenda kushinda kwa nguvu ya Mungu.
Hakuna Corona....hii ni kwa mujibu wa serikali sasa wewe unaongea nini
 
Hakuna mtu anasema lockdown tena dunia hii lakini zile jitihada za kukaa mita mmoja, kuvaa barakoa na kunawa kila wakati zingeokoa maisha lakini vilevile kufanya chanjo.
 
Direct kwenye mada;
Kama kuna mtu ana dalili za Covid 19 apimwe na akiwa positive atengwe. Wasiachiwe ndugu kumtibu na kueneza ugonjwa zaidi.

Contact tracing ifanyike kubaini kama waliokuwa na muathirika nao wamepata maambukizi.

Kujitenga kufanyike kwa umakini hata kwenye majumba ya watu. Huku elimu kwa umma ikitiliwa mkazo. Maana elimu kwa umma ni muhimu.

Kunawa mikono,kutumia sanitizer kama hakuna maji na kuvaa barakoa iwe mandatory kwenye umma.

Muhimu pia kama ilivyokuwa mwaka jana kila wilaya itenge kituo maalumu cha matibabu.

Mwisho na muhimu kabisa ni kuanzisha tiba ya kisaikolojia kwa watanzania kupitia luninga kutoa watu hofu. Maombi na sara kwa nguvu kubwa. Tunenda kushinda kwa nguvu ya Mungu.
Ndugu yangu kwa masikitiko makubwa hilo wala halitasikilizwa,kwani kisingizio kitakuwa hakuna lockdown japo hujalisema hilo,shida yetu no kukwepa jukumu la msingi,kuwa hakuna uwezo wa kugharamia dharura isiyo na bajeti ili matamanio yetu yawezekutimia .
 
Waanze kutafuta contacts za Pfizer tu.., sio kwa kila raia bali kwa watu vulnerables na wahudumu ambao wapo kwenye high risk

Kwa wale mabwana wadogo na immunity zao miili yao huenda ikapambana bila shaka...., hayo mengine kwa hawa jamaa walivyo na mzaha mzaha wa kibongo ni kudanganyana tu... Pia chonde chonde wapiga ramli n.k. tuoneane huruma wakati wa kipindi kigumu tusifanyane mitaji...
 
Ndugu yangu kwa masikitiko makubwa hilo wala halitasikilizwa,kwani kisingizio kitakuwa hakuna lockdown japo hujalisema hilo,shida yetu no kukwepa jukumu la msingi,kuwa hakuna uwezo wa kugharamia dharura isiyo na bajeti ili matamanio yetu yawezekutimia .
Pesa za kupambana na hili janga kwa muda mfupi zikosekane?
 
Back
Top Bottom