McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,090
- 3,444
Kampuni ya Dangote (Dangote Industries Limited) imetangaza mpango wa kujenga mtambo mkubwa wa kusafisha mafuta nchini Kenya utakaokuwa na uwezo wa kuchakata pipa 700,000 kwa siku
Awali, mradi huo ulipangwa kujengwa kwenye Bandari ya Tanga nchini Tanzania, kabla ya kampuni hiyo kubadilisha mwelekeo na kuhamishia nia yake nchini Kenya.
Makamu wa Rais wa Dangote anayeshughulikia Kitengo cha Mafuta na Gesi, Devakumar Edwin, altangaza mpango huo wakati wa ziara ya ujumbe kutoka shirika la taifa la mafuta la Jamhuri ya Congo, waliotembelea mtambo wa Dangote uliopo Lekki, Lagos.
Edwin alibainisha kuwa kiwanda cha sasa cha Nigeria kitakuwa na uwezo wa kuchakata pipa milioni 1.4 kwa siku, huku mtambo mpya uliopangwa kujengwa nchini Kenya ukiongeza pipa nyingine 700,000.
"Uwekezaji huu utafanya uwezo wa jumla wa usafishaji mafuta wa kampuni ya Dangote kufikia pipa milioni 2.1 kwa siku," alisema Edwin
===================
Dangote Industries Limited (DIL) plans to develop a 700,000-barrel-per-day oil refinery in Kenya as part of its wider expansion across Africa’s energy sector.
The proposed facility will supply refined fuel to Kenya and other East African markets, supporting efforts to strengthen regional energy security and reduce dependence on imported petroleum products.
Devakumar Edwin, Group Vice President for Oil and Gas at Dangote Industries, announced the planned capacity during a visit by a delegation from the Republic of the Congo’s national oil company to the Dangote Petroleum Refinery in Lagos on 1 July.
Edwin said Dangote’s Nigerian refining operations would process 1.4 million barrels per day, while the planned Kenyan facility would add a further 700,000 barrels per day.
Together, the developments would increase the group’s combined refining capacity to 2.1 million barrels per day.
The project follows earlier comments by Aliko Dangote, President of Dangote Group, confirming plans to develop a new oil refinery in East Africa. The facility was initially proposed for the Port of Tanga in Tanzania, before the company shifted its attention to Kenya.a
Source: Oil and Gas, Business Insider, Channels TV
Mabadiliko ya kutoka Tanga kwenda Kenya
Mradi huu unakuja kufuatia taarifa za awali za Rais wa Kampuni hiyo, Aliko Dangote, aliyethibitisha mpango wa kujenga kiwanda cha mafuta katika ukanda wa Afrika Mashariki.Awali, mradi huo ulipangwa kujengwa kwenye Bandari ya Tanga nchini Tanzania, kabla ya kampuni hiyo kubadilisha mwelekeo na kuhamishia nia yake nchini Kenya.