mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,663
- 18,037
Ukimpata zanzibakwetu nitakupa soda!! Amekimbia jumla na kuishia uvunguni mwa kitanda chake!!Vp mkuu, unaweza kuwaleta kina Muller na Lewandosk wacheze na msimbazi?
Ukimpata zanzibakwetu nitakupa soda!! Amekimbia jumla na kuishia uvunguni mwa kitanda chake!!Vp mkuu, unaweza kuwaleta kina Muller na Lewandosk wacheze na msimbazi?
Tayari umeshapanua goli!!TAKO MBWATAMBWATA mmepata advantage mbili.....bila mashabiki CONGO na kuwa na mashabiki DAR.......sasa jiandaeni kwa hali yoyote WAPUMBAVU NYIE.
Dimwit.Utopolo mkubwa wewe!! Ulijifanya Simba kama maficho wakati una harufu ya uto ndani nje!