Tukishinda tutamshukuru Mwenyezi Mungu, ila 98% ni Sare ya aina yoyote au tunafungwa Kuanzia Goli 2

Hakuna timu ya Egypt ambayo imewahi kuishinda Simba uwanja wa Uhuru au kwa Mkapa mwenye record nzuri pekee ni Pyramids waliotoka sare ya 2-2 2018.

Ismaily alipigwa.
Zamalek alipigwa.
Al Ahly alipigwa
Petrojet alipigwa.
Harass El Hoodoud alipigwa.
Uko sahihi mkuu, nadhani All - Rounder ameona kilichotokea Jana, Simba akiongoza kwa takwimu zote dhidi ya mpinzani wake.
 
Kichwa changu cha Habari kinasemaje / kimesemaje? Pumbavu.
Hakuna cha kichwa wala nini umechemka vibaya sana. Nyinyi walozi ndio mlikuwa mnatukwamisha kufika mbali, mlikuwa mnawadanganya akina Masatu kwamba mechi imeisha mmeshaloga, mwisho wanapigwa kwa uzembe. Peleka ulozi wako daraja la nne huko .
 
Naendelea Kusisitiza Simba SC ikishinda Kesho itakuwa ni Furaha hata Kwangu ila Matokeo ambayo nayaona hadi sasa ni ama Sare Tasa ( bila ya Kufungana ) au Sare ya Magoli au tutafingwa ( tutakufa ) kwa Goli Mbili ( Magoli Mawili ) safi kabisa
Wewe ni Uto El Kidimbwi, Habari yako umeipata, ile ndio Simba brother.
 
Al ahly ina ukubwa gani kuizidi sevilla?

Mpira waliopigiwa sevilla siku ile bila mapenzi ya kocha kila mtu acheze tulikuwa tunawatoa nishai pale taifa
Kabla ya Game kama siku tano kabla walikuja watu kama 70 kutoka Egypt kuandaa hoteli na wakaandaa sehemu yao ya kupikia na wakaambatana na mbwa ili wabaini kama kuna uzandiki unaweza kufanyika lakini mwisho wa siku wakala bao moja na saivi Misri hapakaliki. Simba ilikuwa bora jana tuache ubishi.
 
Kabla ya Game kama siku tano kabla walikuja watu kama 70 kutoka Egypt kuandaa hoteli na wakaandaa sehemu yao ya kupikia na wakaambatana na mbwa ili wabaini kama kuna uzandiki unaweza kufanyika lakini mwisho wa siku wakala bao moja na saivi Misri hapakaliki. Simba ilikuwa bora jana tuache ubishi.

Senzo baada ya kujazwa Ujinga na Uto ndiyo nayeye alimjaza Ujinga Pisto Mosimane kuwa Simba wanapulizia Dawa Wageni ndiyomana Wakaja na precautions zote hizo hatimae wamekula Kamoja na kukosa kisingizio.
 
Njoo uweke records sawa,Halafu ujifunze kuweka akiba ya maneno.
Subiri uone kitakachotokea Leo .Msilete visababu sababu mkifungwa Mara tatizo kocha Mara tatizo fulani Mara manula hatufahi. Mechi ya Leo ni kipimo tosha Cha ubora wa wachezaji wa Simba . Watu wamemkaba Muller ,Lewandoski washindwe Kagere ,Luis ,Mugalu,Chama hivi inaingia akilini kweli.Ngoja tusubiri muda utasema
 
Hii Simba yetu inaishi kwa michezo kama hii, we thrive on the biggest stage of continental football against the continents best.

This is what Simba is all about

Unakumbuka nini kilimtokea Zamalek 2002/03 ?

Hiyo inaitwa "mnabahatisha" wakati al ahali wakibeba makombe nyie mtaendelea kushangiria na kujisifu mmewafunga, na mwisho wa siku mnashia kutolewa na katimu kadogo. Kama uwezo mnao fikeni japo nusu fainaliii.
 
Hakuna timu ya Egypt ambayo imewahi kuishinda Simba uwanja wa Uhuru au kwa Mkapa mwenye record nzuri pekee ni Pyramids waliotoka sare ya 2-2 2018.

Ismaily alipigwa.
Zamalek alipigwa.
Al Ahly alipigwa
Petrojet alipigwa.
Harass El Hoodoud alipigwa.
Ongezea na Mehal el kubra alipigwa, nadhani ndie wa kwanza kuonja shubiri ya kufungwa timu za Misri.
 
Back
Top Bottom