Tukishinda tutamshukuru Mwenyezi Mungu, ila 98% ni Sare ya aina yoyote au tunafungwa Kuanzia Goli 2

Ni Mpumbavu Mkomavu tu pekee ndiyo atajiaminisha na Kujidanganya huku akijipa Matumaini mbele ya Klabu Kubwa, Bingwa na Bora Afrika Al Ahly ambayo Thamani tu ya Wachezaji wake Wanne ni Thamani ya Klabu nzima ya Simba SC ambayo hadi leo hii Mohammed Dewji ' Mo ' hajaiweka katika Mfumo wa Uwekezaji kama alivyotakiwa katika Mchakato mzima.
umeshuhudia kilicho tokea?
nadhani sasa umepata jibu.
nakushauri tu acha dharau.
mabadiliko makubwa, Simba inaonyesha sasa imewekeza vyema ktk soka, na bado naamni itazidi kupanda.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni Mpumbavu Mkomavu tu pekee ndiyo atajiaminisha na Kujidanganya huku akijipa Matumaini mbele ya Klabu Kubwa, Bingwa na Bora Afrika Al Ahly ambayo Thamani tu ya Wachezaji wake Wanne ni Thamani ya Klabu nzima ya Simba SC ambayo hadi leo hii Mohammed Dewji ' Mo ' hajaiweka katika Mfumo wa Uwekezaji kama alivyotakiwa katika Mchakato mzima.
Hapo mpumbavu mkomavu ni wewe bila shaka
 
Ni Mpumbavu Mkomavu tu pekee ndiyo atajiaminisha na Kujidanganya huku akijipa Matumaini mbele ya Klabu Kubwa, Bingwa na Bora Afrika Al Ahly ambayo Thamani tu ya Wachezaji wake Wanne ni Thamani ya Klabu nzima ya Simba SC ambayo hadi leo hii Mohammed Dewji ' Mo ' hajaiweka katika Mfumo wa Uwekezaji kama alivyotakiwa katika Mchakato mzima.

UMEMFAHAMU MPUMBAVU KATI YAKO NA UNAYEDHANI KUWA NI MPUMBAVU?

Brother uwe unaweka akiba ua maneno.
 
Jipige kifuani mara tatu kisha sema kwa sauti kubwa MIMI NI ZEZETA WA MWISHO.
 
Juzi nilisema Simba ya sasa hivi sio Ile mlioizoea.
na level za Simba sasa hivi yanga hafiki hata robo.
angalia as vita tuliwapiga goli moja bila kwao.
Leo wameahinda goli 4 ugenini.

yanga MNATAKIWA mkubali Simba sio level yenu.
Usisahau kuwasindikiza wageni wetu
Ni Mpumbavu Mkomavu tu pekee ndiyo atajiaminisha na Kujidanganya huku akijipa Matumaini mbele ya Klabu Kubwa, Bingwa na Bora Afrika Al Ahly ambayo Thamani tu ya Wachezaji wake Wanne ni Thamani ya Klabu nzima ya Simba SC ambayo hadi leo hii Mohammed Dewji ' Mo ' hajaiweka katika Mfumo wa Uwekezaji kama alivyotakiwa katika Mchakato mzima.

UMEMFAHAMU MPUMBAVU KATI YAKO NA UNAYEDHANI KUWA NI MPUMBAVU?

Brother uwe unaweka akiba ua maneno.
 
Kila mchezaji anayeifunga Simba.
Simba ujitahidi kumsajili.
Japo uwa mnawacheka Simba.
Mmeona faida ya KUSAJILI WACHEZAJI wanaokufunga?
Ni Mpumbavu Mkomavu tu pekee ndiyo atajiaminisha na Kujidanganya huku akijipa Matumaini mbele ya Klabu Kubwa, Bingwa na Bora Afrika Al Ahly ambayo Thamani tu ya Wachezaji wake Wanne ni Thamani ya Klabu nzima ya Simba SC ambayo hadi leo hii Mohammed Dewji ' Mo ' hajaiweka katika Mfumo wa Uwekezaji kama alivyotakiwa katika Mchakato mzima.

UMEMFAHAMU MPUMBAVU KATI YAKO NA UNAYEDHANI KUWA NI MPUMBAVU?

Brother uwe unaweka akiba ua maneno.
 
Subiri uone kitakachotokea Leo .Msilete visababu sababu mkifungwa Mara tatizo kocha Mara tatizo fulani Mara manula hatufahi. Mechi ya Leo ni kipimo tosha Cha ubora wa wachezaji wa Simba . Watu wamemkaba Muller ,Lewandoski washindwe Kagere ,Luis ,Mugalu,Chama hivi inaingia akilini kweli.Ngoja tusubiri muda utasema
Vp mkuu, unaweza kuwaleta kina Muller na Lewandosk wacheze na msimbazi?
 
Ulisema ukiwa mkubwa unataka kuwa kama mimi ila mapema tu umeanza kuwa kama airene

Mikogo mingi mwanaume unachamba, hapa nafikiria nikununulie shela la kanga
Anza Kumnunulia Dera Kwanza aliyepandikiza Mbegu ya Wewe kuja Duniani hivyo na ukimaliza nae ndipo uje Kwangu sasa sawa? Idiot!!!
 
TAKO MBWATAMBWATA mmepata advantage mbili.....bila mashabiki CONGO na kuwa na mashabiki DAR.......sasa jiandaeni kwa hali yoyote WAPUMBAVU NYIE.
 
Sijakulazimisha na Sikulazimishi ukubaliane na nilichokiandika hapa ila sijawahi kuja na Utabiri wangu na usiwe sahihi kama nilivyousema.

Tukishinda hata Mimi nitafurahi mno na Kumshukuru sana Mwenyezi Mungu ila tusidanganyane Al Ahly ni zaidi ya Simba SC ndani na nje ya Uwanja huku zaidi ikiwa ni katika Ufundi.

Nina uhakika wa Matokeo ya Suluhu (Sare bila ya Magoli) au Sare Pacha (ya Magoli) au Simba SC Kufungwa na Al Ahly goli Kuanzia 2 (Mbili)

Wale mtakaochukia na huu Uzi mnisamehe, tuvumiliane na muupokee tu kwani ndiyo Utabiri wangu kama ambavyo nimekuwa nikiutoa kwa Matokeo mengine mbalimbali yaihusuyo Simba SC yangu (yetu)

Kumfunga Al Ahly Kesho Kiutamaduni (Kiuchawi) Simba SC inatakiwa ifanye Kafara kubwa la Kiongozi wake Mmoja wa Juu Afe ghafla (tena kwa Ajali) na Damu yake itumike. Pia Kucheza huo Mchezo Saa 10 Jioni tumekosea mno kwani Jini la Ushindi la Simba SC huwa linaanza Kufanya Kazi kuanzia Saa 1 Usiku hadi Saa 6 Usiku tu.

Na Safari hii Al Ahly nao wamejidhatiti sana Kindumba (Kiuchawi) japo Wao wanatumia zaidi Kitabu na kuna Jambo wamelifanya Leo na Kesho Saa 5 Asubuhi watalifanya tena. Wamejiandaa mno kwa Fitna za nje ya Uwanja.

Kaa kimya na ufunge bakuli lako
 
Back
Top Bottom