Tukisema wanajiuza.....

Status
Not open for further replies.
kwenda huko na wewe,hata km mtu anajiuza wewe inakuhusu nini.....kila mtu si ana kidude chake??wewe cha mwenzio kinakuhusu nini hata akiamua kukata na kutupia kuku hayakuhusu kijana...mind your own damn buzziness...shshshshsssssssssssss!
Asante utandawazi...:whoo:
 
kwenda huko na wewe,hata km mtu anajiuza wewe inakuhusu nini.....kila mtu si ana kidude chake??wewe cha mwenzio kinakuhusu nini hata akiamua kukata na kutupia kuku hayakuhusu kijana...mind your own damn buzziness...shshshshsssssssssssss!

waliokulia kwa kopa ni watu kama wewe,shukuru mungu kama ulikulia masaki....but that shouldnt make you think you are more important than others....

halafu usimuingize mume wangu humu,at least ana akili and respect kushinda nyie mambwimbwi mnaoshinda mkidhalilisha dada za watu humu!

Mimi mwenyewe naishi huko wasichana wa huko wanamdomo kama wako tunaita wa njundi-umechongoka na wanaongea hao kama wewe

ila kwa picha hii hapa chini unahisi naweza kubishana na mtu kama wewe kweli????

divaaa.jpg
 
hahahahaha,nani kasema wewe ni type yangu???wabwia mbwimbwi kama wewe waniepukie mbali...and for your info sitafuti bwana humu....ninaye wangu usijihangaishe na kibamia chako! na habari ndio hiyo

UWiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiihhhhhhhhhhhhhh:bump:
 
mimi naona ni matusi tu na kurushiana maneno!

*mods wameshaliona hili na nina-assume kwamba 'wanafurahia'......
 
mmmhhh jamani
kuna watoto humu ndani ...
tunaomba tuongee tu kwa lugha nzuri...

saa nyingine matusi hayasaidii ...
mwa
ka mpya jamani hatutaki kuanza hivi ...

my wish for 2011 peace, love, harmony and hugs
AD
 
hahahahaha,nani kasema wewe ni type yangu???wabwia mbwimbwi kama wewe waniepukie mbali...and for your info sitafuti bwana humu....ninaye wangu usijihangaishe na kibamia chako! na habari ndio hiyo
nahisi wafahamiana hawa
 
Ajabu huwa naona kuitwa na Wabunge wananiambia good job your doing good,huwa nashangaa kusema ukweli..
huyu mtoto akili yake ina trojan.....hizo ni kauli zake .....
 
mmmhhh jamani
kuna watoto humu ndani ...
tunaomba tuongee tu kwa lugha nzuri...

saa nyingine matusi hayasaidii ...
mwa
ka mpya jamani hatutaki kuanza hivi ...

my wish for 2011 peace, love, harmony and hugs
AD
waache wafundishane heshima au vipi,mie natoa stress za upweke hapa,Mods plz msitoe hii kitu
 
pole utahangaika sana leo,kupigana na wabwia unga kama nyie sio kazi kwangu.:ranger:

unajua saa nyingine da Rose kichaa akiiba nguo zako wakati
uaogelea halafu akakimbia nazo na we ukamkimbiza ........ nadhani unajua kinacho fuatilia...
we ndo utaonekana kichaa kuliko yeye...

mmhh ndo maana nakuomba achananao please....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom