Tukisema wanajiuza.....

Tukisema wanajiuza.....

Status
Not open for further replies.

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,743
Hivi vibinti vya dar hovyoo sana......siku hizi vimejua facebook,blog basi ni baraa vyapost vipicha vyao vya nusu utupu vikiomba hifadhi kwa masela......JF'ers tukivibandika vyicha vyao kuvifundisha maana ya kutumia mitandao kwa hishma wanan'gaka.....
 
there's no pic to view..
hakuna attachment mbona??
 
kwenda huko na wewe,hata km mtu anajiuza wewe inakuhusu nini.....kila mtu si ana kidude chake??wewe cha mwenzio kinakuhusu nini hata akiamua kukata na kutupia kuku hayakuhusu kijana...mind your own damn buzziness...shshshshsssssssssssss!
 
Anajiamini na anatangaza alichojaliwa na Mungu,wenye interest na uwezo wa kununua.......wajibebe.......mwenye dau lake la juu....ananunua.
Kwenye suala la kuuza mwili hakuna anayekubali wote wangependa kuitwa na kuonekana potential girlfriends whether they are marketing themselves online au you met them kanisani.
 
Unalugha kali sana binti...inayoashiria nawe ni member wa picha za utupu! Lugha kama za Dr. Salvatory Rweyemamu wa Ikulu
 
Umejibu kibusara sana dada yangu! complements
 
Unalugha kali sana binti...inayoashiria nawe ni member wa picha za utupu! Lugha kama za Dr. Salvatory Rweyemamu wa Ikulu

sipendi waluga luga mnaojiona mko important zaidi ya wengine na mna haki ya kuwachagulia watu jinsi ya kuishi....huyo salva si mtu tu kama wewe au ana vinyeo viwili???shxxxsss!
 
kwenda huko na wewe,hata km mtu anajiuza wewe inakuhusu nini.....kila mtu si ana kidude chake??wewe cha mwenzio kinakuhusu nini hata akiamua kukata na kutupia kuku hayakuhusu kijana...mind your own damn buzziness...shshshshsssssssssssss!

Pole ni picha yako nini?

Lakini acha kutanguliza penzi ya jinsi nani huko hakutakiwi kupate joto kali.

Lakini kama kalio huna si huna tu
 
nilijua tu mtanivamia na lugha zenu za mitaani,kama kalio sina ndio uchukue picha yangu uiweke hapa??kwa nini usitafute ya mama yako mwenye kalio kubwa umweke hapa?
 
Mh!watakuwa wanajiuza au wanatafuta watu wa kuwaoa.kama unavyojua siku hizi wanaume ni watabu sana!kibaya zaidi huyu Dada ameonyesha ishara ya chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania,anakizalilisha chama!!
 
sipendi waluga luga mnaojiona mko important zaidi ya wengine na mna haki ya kuwachagulia watu jinsi ya kuishi....huyo salva si mtu tu kama wewe au ana vinyeo viwili???shxxxsss!

Pole mama, ila acha lugha chafu haikufikishi popote.........usijidanganye kwa kujificha nyuma ya PC. Ninyi ndo mnatakiwa muwe mfano bora ( wamama wenye busara) kwa taifa la leo na kesho!
 
nilijua tu mambwimbwi mtanivamia na lugha zenu za mitaani,kama kalio sina ndio uchukue picha yangu uiweke hapa??kwa nini usitafute ya mama yako mwenye kalio kubwa umweke hapa?

Ndo maana nikatanguliza pole kama ni wewe.

Lakini maswala ya mama zetu yanakujaje hapa tena?

Mama angu anakuhusu nini wewe? kama mm nimekosea si unihukumu mm kwa nini unakimbilia kwa mama ambae hayupo na hajui lolote?
 
kwenda huko na wewe,hata km mtu anajiuza wewe inakuhusu nini.....kila mtu si ana kidude chake??wewe cha mwenzio kinakuhusu nini hata akiamua kukata na kutupia kuku hayakuhusu kijana...mind your own damn buzziness...shshshshsssssssssssss!

Hapaswi kukiuza kwa kuwa yeye alipewa bure,pia anapaswa atoe bure.Kinachoudhi hapa ni yeye kutaka kukiuza hicho kidude kizuri!!!
 
Pole mama, ila acha lugha chafu haikufikishi popote.........usijidanganye kwa kujificha nyuma ya PC. Ninyi ndo mnatakiwa muwe mfano bora ( wamama wenye busara) kwa taifa la leo na kesho!

huna issue,mfano bora na nyie mnaoleta picha za watu hapa...???nyie ndio hampaswi kuwa mfano bora???...........kila mtu yupo nyuma ya PC au unadhania tunakuona hapa ukitype??shhhxxxxxxx!
 
Ndo maana nikatanguliza pole kama ni wewe.

Lakini maswala ya mama zetu yanakujaje hapa tena?

Mama angu anakuhusu nini wewe? kama mm nimekosea si unihukumu mm kwa nini unakimbilia kwa mama ambae hayupo na hajui lolote?

Fidel achana na huyu dada, hana hata chembe ya busara si unaona anavyotukana nick names! you cana imagine ukikutana nae face to face itakuwaje!
 
nilijua tu mambwimbwi mtanivamia na lugha zenu za mitaani,kama kalio sina ndio uchukue picha yangu uiweke hapa??kwa nini usitafute ya mama yako mwenye kalio kubwa umweke hapa?
Kheeeeeee................... najaribu kulingalisha avatar yako na maneno yako sioni vinapoungana
 
sipendi waluga luga mnaojiona mko important zaidi ya wengine na mna haki ya kuwachagulia watu jinsi ya kuishi....huyo salva si mtu tu kama wewe au ana vinyeo viwili???shxxxsss!

sa da Rose,unasema watu watulie ili picha kama izi ziwepo? Mwaka 2020 nikiwa rais mtavalishwa hijab kwa lazima!au mavazi ya masista,sawa? Usinitusi lakn!nielewe tu. Usilazmishe watu waone,vaa vivazi vya adabu ili watu wasumbuke kuona ndo hapo watapigana kuona na utakuwa umewapata wengi,ila ukivaa uchi,kila mtu apitae anaona sa thamani iko wapi apo? Scarcity/kuficha makes a cheap commodity expensive! Believe t or not!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom