Wewe IDIMI,
Hiyo milango iliyo wazi iko wapi?
Miaka kama miwili kuanzia sasa, nitaomba wanipe hata kata, tena ikiwezekana bila hata malipo ila tu power ya kufanya yale ninayoyaamini.
Inabidi ifike mahali inabidi kubadili haya tunayoyasema kila siku into deeds. Hizi pesa za Ulaya inafika wakati hata haziongezi kitu zaidi ya boss
kusema well done. Kuna sehemu nikiwa likizo nyumbani, niliangalia mafunzo ya PRIDE, akina mama walipofuzu, wakafurahi na kupewa pesa, wakaimba na nyimbo na kucheza. Yaani iliniuma kweli, hawa mama wanacheza shauri mkopo wa laki mbili, tena riba zaidi ya 20%, wasomi tungelikuwa tunatumia elimu zetu vizuri, tunaweza ku achieve mangapi kule nyumbani na kuwafanya akina mama wafurahi?
Nina uhakika sitawaangusheni kama Msekela na Mwakipesile kwi kwi kwi!!!