Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,197
- 25,517
Ngosha ana lakujifunza katika ili piaKwanza, nawasalimu waungwana wote wa Jamiiforums. Pili, nakiri kuwa jambo ninalotaka kuliandika hapa limetokea juma linaloisha (Alhamisi). Nimechelewa kuandika hapa kwakuwa nilijipa nafasi ya kutafakari vya kutosha. Nimejifunza jambo kubwa kwenye maisha yangu.
Alhamisi ya tarehe 11 mwezi huu majira ya saa mbili na robo asubuhi nilikuwa kwenye viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kutekeleza majukumu yangu ya kikazi. Nilikuwa nimeambatana na Profesa mmoja wa UDSM (jina kapuni) ambaye alikuwa mteja wangu na shahidi yangu siku hiyo mahakamani hapo kwenye shauri lililonipeleka.
Mimi na Profesa tukiwa tunaingia mpango wa Mahakama husika (mlango mkuu), gari ndogo ya Magereza ya pickup ilikuwa ikirudi nyuma kutoka Mahakamani hapo. Ndani ya gari hiyo kulikuwa na Washtakiwa/Mahabusu wawili walioketishwa chini kwenye gari hilo kwa nyuma. Mmojawapo alikuwa Mzee Harry Kitilya, Kamishna Jenerali wa zamani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania aka TRA.
Ilikuwa ni kama tunapishana na gari hilo. Mzee Kitilya alipomuona Profesa anayefahamiana naye (akijitahidi kuchangamka na kusahau kwa muda maswahibu yake) alimwita Profesa kwa jina na kumsalimu. Akajitahidi kumfahamisha na mwenzake kuwa yule ni Profesa na ni rafikiye. Hakujali hata askari wa Magereza waliokuwa wamewasimamia kiulinzi. Kwa bahati njema,dereva alisimama kwa muda 'kuruhusu' salamu hiyo.
Baada ya salamu, Profesa akamwambia Mzee Kitilya: Pole. Akionekana kusawajika, kutamani kuwa nje ya gari ile huru kama mwanzoni na mwenyewe kujiamulia cha kufanya na kusema, Mzee Kitilya akajibu: Asante Profesa, tupo! Gari ikamalizia kona na kuondoka.
Mzee Harry Kitilya alikuwa Mkuu wa TRA iliyokusanya kodi nyingi nchini zilizojenga na kulipia mambo mbalimbali ya kiserikali. Alikuwa Mkuu wa wakusanya mapato ya Serikali na alifanya aliloliweza. Alikuwa akiheshimiwa na wadogo kwa wakubwa wa nchi hii na wakati mwingine kuogopwa. Leo yuko kwenye hali ile.
Ikiwa mti mbichi unatendwa vile, itakuwaje kwa miti mikavu? Nawasihi viongozi mbalimbali waweke akiba ya maneno na matendo yao. Maisha hayana formula!
Duu kuna wakati cheo sio dhamana.
Wakati aliokutana nao aliyekuwa ndani ya GARI ya magereza.Wakati gani huo?
Mheshimiwa umenena suala la msingi mno kwenye maisha,hakuna anyejua kesho yake,kuna jamaa yangu alikuwa na nafasi nzuri tu lakini kwa yeyote yule ata kama umekutana naye husingeweza jua yeye ni nani,aliishi maisha ya kiasi na utu kwa kujali wengine kama yeye alivyo.Viongozi wanapaswa kujua maisha ni fumbo.Kwanza, nawasalimu waungwana wote wa Jamiiforums. Pili, nakiri kuwa jambo ninalotaka kuliandika hapa limetokea juma linaloisha (Alhamisi). Nimechelewa kuandika hapa kwakuwa nilijipa nafasi ya kutafakari vya kutosha. Nimejifunza jambo kubwa kwenye maisha yangu.
Alhamisi ya tarehe 11 mwezi huu majira ya saa mbili na robo asubuhi nilikuwa kwenye viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kutekeleza majukumu yangu ya kikazi. Nilikuwa nimeambatana na Profesa mmoja wa UDSM (jina kapuni) ambaye alikuwa mteja wangu na shahidi yangu siku hiyo mahakamani hapo kwenye shauri lililonipeleka.
Mimi na Profesa tukiwa tunaingia mpango wa Mahakama husika (mlango mkuu), gari ndogo ya Magereza ya pickup ilikuwa ikirudi nyuma kutoka Mahakamani hapo. Ndani ya gari hiyo kulikuwa na Washtakiwa/Mahabusu wawili walioketishwa chini kwenye gari hilo kwa nyuma. Mmojawapo alikuwa Mzee Harry Kitilya, Kamishna Jenerali wa zamani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania aka TRA.
Ilikuwa ni kama tunapishana na gari hilo. Mzee Kitilya alipomuona Profesa anayefahamiana naye (akijitahidi kuchangamka na kusahau kwa muda maswahibu yake) alimwita Profesa kwa jina na kumsalimu. Akajitahidi kumfahamisha na mwenzake kuwa yule ni Profesa na ni rafikiye. Hakujali hata askari wa Magereza waliokuwa wamewasimamia kiulinzi. Kwa bahati njema,dereva alisimama kwa muda 'kuruhusu' salamu hiyo.
Baada ya salamu, Profesa akamwambia Mzee Kitilya: Pole. Akionekana kusawajika, kutamani kuwa nje ya gari ile huru kama mwanzoni na mwenyewe kujiamulia cha kufanya na kusema, Mzee Kitilya akajibu: Asante Profesa, tupo! Gari ikamalizia kona na kuondoka.
Mzee Harry Kitilya alikuwa Mkuu wa TRA iliyokusanya kodi nyingi nchini zilizojenga na kulipia mambo mbalimbali ya kiserikali. Alikuwa Mkuu wa wakusanya mapato ya Serikali na alifanya aliloliweza. Alikuwa akiheshimiwa na wadogo kwa wakubwa wa nchi hii na wakati mwingine kuogopwa. Leo yuko kwenye hali ile.
Ikiwa mti mbichi unatendwa vile, itakuwaje kwa miti mikavu? Nawasihi viongozi mbalimbali waweke akiba ya maneno na matendo yao. Maisha hayana formula!
Kila Masika ina Mbu wake!Mzee Harry Kitilya alikuwa Mkuu wa TRA iliyokusanya kodi nyingi nchini zilizojenga na kulipia mambo mbalimbali ya kiserikali. Alikuwa Mkuu wa wakusanya mapato ya Serikali na alifanya aliloliweza. Alikuwa akiheshimiwa na wadogo kwa wakubwa wa nchi hii na wakati mwingine kuogopwa. Leo yuko kwenye hali ile.
Watu kama nyie hata mkifa tunawashindilia gunzi maana hamna maanaTangu nimekuoa numeona katika mafisadi 10 lazima 6wawe wachaga na ukumbuke wachaga ni kabila dogo tu wangekuwa kama waha au wasukuma nchi hii ingeisha
Duh punguza maneno makali mzeeTangu nimekuoa numeona katika mafisadi 10 lazima 6wawe wachaga na ukumbuke wachaga ni kabila dogo tu wangekuwa kama waha au wasukuma nchi hii ingeisha
Tangu nimekuoa numeona katika mafisadi 10 lazima 6wawe wachaga na ukumbuke wachaga ni kabila dogo tu wangekuwa kama waha au wasukuma nchi hii ingeisha
Kama ambavyo sheria za nchi zilivyo,kosa ni kosa ,kosa hufuta mazuri yote,hakutakiwa kufanya kosa ili alinde heshima na mazuri yake,badala yake akaingiwa tamaa,ndio iliomponza ,awajibike tu.Kwanza, nawasalimu waungwana wote wa Jamiiforums. Pili, nakiri kuwa jambo ninalotaka kuliandika hapa limetokea juma linaloisha (Alhamisi). Nimechelewa kuandika hapa kwakuwa nilijipa nafasi ya kutafakari vya kutosha. Nimejifunza jambo kubwa kwenye maisha yangu.
Alhamisi ya tarehe 11 mwezi huu majira ya saa mbili na robo asubuhi nilikuwa kwenye viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kutekeleza majukumu yangu ya kikazi. Nilikuwa nimeambatana na Profesa mmoja wa UDSM (jina kapuni) ambaye alikuwa mteja wangu na shahidi yangu siku hiyo mahakamani hapo kwenye shauri lililonipeleka.
Mimi na Profesa tukiwa tunaingia mlango wa Mahakama husika (mlango mkuu), gari ndogo ya Magereza ya pickup ilikuwa ikirudi nyuma kutoka Mahakamani hapo. Ndani ya gari hiyo kulikuwa na Washtakiwa/Mahabusu wawili walioketishwa chini kwenye gari hilo kwa nyuma. Mmojawapo alikuwa Mzee Harry Kitilya, Kamishna Jenerali wa zamani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania aka TRA.
Ilikuwa ni kama tunapishana na gari hilo. Mzee Kitilya alipomuona Profesa anayefahamiana naye (akijitahidi kuchangamka na kusahau kwa muda maswahibu yake) alimwita Profesa kwa jina na kumsalimu. Akajitahidi kumfahamisha na mwenzake kuwa yule ni Profesa na ni rafikiye. Hakujali hata askari wa Magereza waliokuwa wamewasimamia kiulinzi. Kwa bahati njema,dereva alisimama kwa muda 'kuruhusu' salamu hiyo.
Baada ya salamu, Profesa akamwambia Mzee Kitilya: Pole. Akionekana kusawajika, kutamani kuwa nje ya gari ile huru kama mwanzoni na mwenyewe kujiamulia cha kufanya na kusema, Mzee Kitilya akajibu: Asante Profesa, tupo! Gari ikamalizia kona na kuondoka.
Mzee Harry Kitilya alikuwa Mkuu wa TRA iliyokusanya kodi nyingi nchini zilizojenga na kulipia mambo mbalimbali ya kiserikali. Alikuwa Mkuu wa wakusanya mapato ya Serikali na alifanya aliloliweza. Alikuwa akiheshimiwa na wadogo kwa wakubwa wa nchi hii na wakati mwingine kuogopwa. Leo yuko kwenye hali ile.
Ikiwa mti mbichi unatendwa vile, itakuwaje kwa miti mikavu? Nawasihi viongozi mbalimbali waweke akiba ya maneno na matendo yao. Maisha hayana formula!
Exactly !, this tribe leading for selfish,hypocrites,thieves in TanzaniaTangu nimekuoa numeona katika mafisadi 10 lazima 6wawe wachaga na ukumbuke wachaga ni kabila dogo tu wangekuwa kama waha au wasukuma nchi hii ingeisha
Nenda kafungue jalada kama Kitilya na wenzake walivyofanyiwaAlienunua kivuko kibovu kwa gharama ya mabilioni ya shillingi na baada ya awali kuhonga hawara zake nyumba za serikali (tukiachilia mbali madudu mengine) ni mchaga wa wapi vile?