Shenzi zako umesema hili Ni tatizo la kifamilia kwa maana nyingine ubalozi hauhusiki kwahiyo hata angetupwa Kama umbwa kwako sawa tu kisa tatizo la kifamilia? Mara ngapi watu wanafia kwenye buses munapita kituo cha polisi munapewa msaada stahiki sembuse mtu kafia ugenini, kwahiyo mama samia akiugua akiwa kwenye kikao cha AU ubalozi hauhusiki sio? Watanzania wangapi wanaenda Addis Ababa kwenye makongamano mbalimbali watanzania wangapi wanasubiri connect ndege kqa masaa kadhaa wakuwa Addis Ababa? Huyu balozi wakufukuza tena haraka sanaKwani wapi nimeandika hakupaswa kusaidiwa na ubalozi?
Unajua kusoma kwa ufahamu?
Au wewe ni kati ya wale wajinga ambao wana tatizo la kusoma?