Angelina Rowland
Member
- Apr 17, 2013
- 32
- 2
Inasikitisha but nikwamba mgonjwa mwenyewe niwakisomali na alishadanja njiani so nesi akaona hamna haja yakwenda tena KCMC ndo akawapa reason yakua oxygen imeisha .
Umeona hiyo niliyo highlight?Those are Key words, no discussionsHata hivyo magamba wanahusika tu maana serikali wanayo wao na vyombo vyote vya usimamizi wa kama ni hospitali, shule, kila kitu. System ilio feli ni ya magamba. To me magamba mnahusika tu.
nimekupata mkuuNdio maana kila siku unatakiwa kuchukuwa jipya na wa akiba kwa safari. Kama umetumia hiyo mitungi, ukiunyanyua uliojaa na unaokaribia kuisha utajua tofauti kutokana na uzito wake.
Hakuna ahadi wala tusiisingizie CCM, ni uzembe wa Nurse.
Nani atapelekwa mahakamani kwa Uzembe? umeshawahi kusikia huu msemo CYA (cover your ass) It is potential liability to loose your license. The nurse will fall at this "malpractise" which can go up to involuntary manslaughter charge which is felony. The nurse will spend some yrs in prisonNurse ana uzembe gani..kwan yy ndo anatoa hela ya kununua oxygen....
Unachojaribu ni kulalama kwa propaganda dhidi ya CCM ambazo hazina hata mashiko.
Hivi unaijua supervisory na regulation iliyopo kati ya Selian hospital inayomilikiwa na KKKT na wajibu wa msingi wa Selian hospital ni upi.
Jenga hoja za maana kuliko kuanza kuficha uozo kwa manufaa yako au ya hospitali kisiasa.
We're talking someone died possibly, for negligence.
Kuna familia kwa sasa ina omboleza huku wewe ukilalama bila underlying support for argument.
Hakuna ahadi wala tusiisingizie CCM, ni uzembe wa Nurse.
Sasa mawazo mabovu kama haya ndio mnasema watanzania wameeamka? Thubutu! Hata wazee wetu wa enzi za mawe walikuwa na upeo mpana kuliko huyu mchangiaji. All in all...Tanzania elimu yetu kuna sehemu ilitoka kwenye ''njia yake'' na matokeo yake watu wengi sana wamehitimu bila kuelimika! Bila kuifanyia complete transformation hatutafika mahali!Ndugu wa marehemu ni kati ya kundi kubwa la wajinga wenye kuweka lawama mbele kuliko uhalisia...
Suala la oksijeni kupungua lipo nje ya uwezo wa hao wauguzi na hata dereva wa gari husika...
Swali la kwanza walitakiwa wajiulize, iweje hapo Arusha hakuna hospitali yenye hadhi kama KCMC maana ingalikuwepo hospitali ya hadhi hiyo basi huyo marehemu pengine angelikuwa hai...
Kwani Police anatengeneza Pingu, amekabidhiwa mtuhumiwa ametoroka sasa angefanya nini? Kwanini mwanafunzi kashindwa kufanya mtihani, alikuwa hana pen, kwani mwanafunzi anatengeneza pen? do you see how stupid do I sound like?Kwani nurse anatengeneza oksijeni. Amekabidhiwa mgonjwa kwenye gari na mtungi wa gesi sasa kama imeisha angerefill kwa kujambia?
Kwani nurse anatengeneza oksijeni. Amekabidhiwa mgonjwa kwenye gari na mtungi wa gesi sasa kama imeisha angerefill kwa kujambia?
Tatizo la watu kama wewe unamjifanya kujua legal flamework, procedures and duties za kila sehemu wakati hujui lolote.Inaonekana hata watoto wako wakitoroka shule utasema huhusiki kwa sababu hukubeba mimba na wala siye wewe aliyekwenda labor kuwazaa.
Huwezi kuitetea ccm kwa uongozi mbovu na mfumo usiofaa unaoendelea kumaliza watanzania kwa uzembe wa kijinga. Kama huwezi kupata link kati ya uwajibikaji na huduma za ovyo zinazotolewa nchini na wajibu wa serikali kulinda na kusimamia maslahi ya wa tz unatatizo linalohitaji attention nyingine na si hapa jf..
Solution ya haya yote ni kuindoa ccm madarakni. hata kama hamtaki mtaondoka tu. Ujinga ujinga wenu umetusababishia madhara mengi sana wa Tanzania. Na sasa umedhihirisha namna mlvyo na uelewa shallow kiasi hata wajibu wenu hamjui mnabaki kuiba raslimali za taifa tu. Ujinga mtupu.