Tukio la kusikitisha Arusha leo

Tukio la kusikitisha Arusha leo

Sasa mawazo mabovu kama haya ndio mnasema watanzania wameeamka? Thubutu! Hata wazee wetu wa enzi za mawe walikuwa na upeo mpana kuliko huyu mchangiaji. All in all...Tanzania elimu yetu kuna sehemu ilitoka kwenye ''njia yake'' na matokeo yake watu wengi sana wamehitimu bila kuelimika! Bila kuifanyia complete transformation hatutafika mahali!


Soma hapa chini...

Kwani nurse anatengeneza oksijeni. Amekabidhiwa mgonjwa kwenye gari na mtungi wa gesi sasa kama imeisha angerefill kwa kujambia?
 
Matibabu sio fani ya kubahatisha kama siasa. Alipaswa kukagua gari na gauge ya mtungi wa gesi ikionyesha mshale kwenye rwd unapaswa kubadilishwa mara moja.

Umejaribu kufikiria kuwa huwenda gesi ilikuwa ya kutosha lakini kuna mambo mengine yaliyozuia gari kwenda kasi mathalani miundo mbinu n.k?
 
hasa nesi na dereva wana kosa gani mpaka wapigwe?
Hapo wafiwa wamekosea si wanahela,kwnn hawajampeleka india?
...halafu wanapoharibu hivyo vifaa,ina maana wengine watatibiwa wapi?
..halafu hiv oxygen inaishaje njiani jamani,ina maana hakuna kiwango kinachoeleweka kwamba kikiwekwa kinatumika/kinakaa muda gani?

Sasa na ww christina mbona unaongea kama hauna kichwa!
Suala sio utajiri !
Mgonjwa hakuweza kufika hata moshi.We Unadhani india angefika.??
Na unaposafirisha mgonjwa mahututi. Ni kanuni za kiuguzi kuhakikisha oxygen inatosha na gari ya kusafirishia ni nzima.

Na kama huna hakika lazima ukatae.
Huyo ni kiumbe unamsafirisha sio vitumbua! Alaaa.
Mbona watz wagumu namna hii kuelewa? Au mpaka mikwaju kwanza.
Mvfssssssss!
 
Why so judgemental? You have just heard the story from one side, how sure are you that it is not biased?
 
Inasikitisha but nikwamba mgonjwa mwenyewe niwakisomali na alishadanja njiani so nesi akaona hamna haja yakwenda tena KCMC ndo akawapa reason yakua oxygen imeisha .


Acha upuuzi LAANA KUM wewe! Mwacheni Ahmed apumzike kwa Amani katika nyumba yake ya milele! Ni Jana tu tumemlaza Ngaramtoni, ni Pneunomia ndio imemuondoa. Hata mkitoa povu vipi! Kubalini askofu Laizer kawaingiza mkenge.. Pale ni majengo tu hamna Huduma hata Huduma zao za mochwari ni mbaya pumbavu zenu... Kitakachofuatia ni kuitia kiberiti tu MoU mchukue afu msiboreshe Huduma pumbavu kabisa
 
Naona kila kitu tunasingizia CCM lack of accountability kwa baadhi ya wafanyakazi nalo ni tatizo unapofika hospitalini ukakutana na muuguzi anayekunywa chai wala asijitingishe kukushughulikia mpaka amalize chai yake nayo itakuwa CCM ,what if anayetakiwa kuhakikisha iyo mitambo ya oxygen inafanya kazi vema hafanyi kazi yake ipasavyo.

Hembu tuache umburula wa kubebesha mizigo chama huku tukikimbia majukumu yetu CHADEMA ikiingia madarakani hayo hayatatokea???
 
Utawala wa hospitali una mtu anayeshughulika na mitungi ya hewa ya oksijeni kwa nini safari ianze bila kuhakikisha kulikuwa na hewa ya kutosha kwenye mtungi? Je wenye mgonjwa ndio walilazimisha apelekwe KCMC? Tuweni makini tuwapo kazini.

Wafiwa poleni sana lakini kitendo mlichofanya sio kizuri!
Kitendo walichokifanya ni kujichukulia sheria mkononi ambavyo ni kinyume cha sheria ingawa hoja yao ni ya msingi.
 
Acha upuuzi LAANA KUM wewe! Mwacheni Ahmed apumzike kwa Amani katika nyumba yake ya milele! Ni Jana tu tumemlaza Ngaramtoni, ni Pneunomia ndio imemuondoa. Hata mkitoa povu vipi! Kubalini askofu Laizer kawaingiza mkenge.. Pale ni majengo tu hamna Huduma hata Huduma zao za mochwari ni mbaya pumbavu zenu... Kitakachofuatia ni kuitia kiberiti tu MoU mchukue afu msiboreshe Huduma pumbavu kabisa

Ndugu yangu kubishana na mwenda wazimu, utaumia kichwa hawa watu wenye kutoa comments za namna hii kwa marehemu, ni watu ambao kwanza akili mungu kawanyima, halafu na elimu wizauti, sasa kumregebisha huyu ni bora kubebea mlima Kilimanjaro, unaweza fanikiwa kuliko kumstaarabisha kiumbe huyu,
Sisi tunaita "sio rizki"
Mungu amlaze al marhum pema peponi,
ameen
 
Lawama si mzigo,nesi afanyeje kama mgonjwa kwisha Kcmc wakatalii?
 
Back
Top Bottom