Easymutant
R I P
- Jun 3, 2010
- 2,564
- 1,135
siwapendi hawa jamaa hata kwa bahati mbayachagua ccm,
chagua matatizo!!
lakini kwa hili umewaonea....
siwapendi hawa jamaa hata kwa bahati mbayachagua ccm,
chagua matatizo!!
No comments,
mtu akifiwa anaweza fanya lolote
Kabla ya kuondoka walipaswa kuangalia je oksijeni ilikuwa ya kutosha? vinginevyo uzembe umechangia.
No comments,
mtu akifiwa anaweza fanya lolote
lazima uibuke we ujaona majina ya mgonjwa yalivyoandikwa.
Hakuna ahadi wala tusiisingizie CCM, ni uzembe wa Nurse.
Hakuna ahadi wala tusiisingizie CCM, ni uzembe wa Nurse.
Mkuu labda haujauguliwa, kama ungeuguliwa na ndugu yako wa karibu ungejua jinsi watu wanavyochanganyikiwa. Au labda haujui hospital protocols and Nurse code of ethicsUzembe wa ndugu, wangempleka hospitali ya serikali mapema.
Did I blame CCM for this death? please read and comprehend the contents before you start argue. Otherwise we might think either you're stupid or IdiotMawazo mbweteko haya....CCM hadi kwenye kifo cha mtu? you have to be critic by logical aguement you CDM....mnataka kutupeleka wapi?
Mkuu wewe ukiwa kama askari ni wajibu wako kujua bunduki, unayochukua kwa kazi maalum, ina risasi ngapi. Kama mwanafunzi lazima ujue unayo pen yenye wino wa kutosha kabla ya kuingia chumba cha mtihaniNesi ndiye amesababisha ambulance isiwe na mtungi wa akiba, au kaupiga nyoka mtungi...hebu nieleweshe mkuu!
mitungi ya oxygen inakuwa gauge ya kuonesha imebaki kiasi gani?Hakuna ahadi wala tusiisingizie CCM, ni uzembe wa Nurse.
Leo arusha kumetokea tukio la kusikitisha sana:Gari la wagonjwa (ambulance) la hospitali ya Selian inayomilikiwa na kanisa la KKKT lilikuwa linampeleka mgonjwa moja aitwaye Hamad Salim Bawazir (familia maarufu arusha) kwenda hospitali ya KCMC ya mjini Moshi baada ya mgonjwa huyo kuzidiwa sana.Mgonjwza huyo alikuwa anatumia hewa ya oksijen kutokana na matatizo ya kupumua na ndani ya gari hilo kulikuwa na mashine iliyokuwa na hewa hiyo.
Katika hali ya kushangaza gari lilipofika eneo la Kikatiti wakati wanaelekea KCMC nesi aliyeambatana na ndugu wa mgonjwa aliwatangazia kuwa oksijen imeisha hivyo inabidi warudi arusha, na mgonjwa alifariki ndani ya dakika 10.
Hapo ikazuka sokomoko la kufa mtu kati ya ndugu wa mgonjwa na mwuguzi huyo pamoja na dereva ambapo paqmoja na kuchezea kichapo ndugu waliharibu gari hilo kwa kuvunja vioo vyote.
Pia jamaa na marafiki wa familia kutoka mitaa ya katikati ya mji wa Arusha kama Bondeni na pangani waliokuwa na hasira kutokana na kitendo hicho walivamia hospitali ya Selian wakitaka kuichoma moto hadi uongozi ulipolazimika kuwaita askari wa kutuliza ghasia.
Taarifa zinadai kuwa huyo ni mgonjwa pili kuishiwa oksijen njiani na tukio kama hilo lilitokea hivi karibuni ambapo mgonjwa moja alifia eneo la Philips ndani ya gari hilo hilo.
Hospitali ya Selian pamoja na kujengwa kwa gharama kuwa sana zaidi ya shilingi bilioni 10 imeshindwa kutoa huduma yenye viwango kwa wagonjwa na imekuwa kama machinjio ya wagonjwa kutokana na uzembe wa madaktari na wauguzi na pia kukosekana kwa menejimenti ya maana.
Ndio maana kila siku unatakiwa kuchukuwa jipya na wa akiba kwa safari. Kama umetumia hiyo mitungi, ukiunyanyua uliojaa na unaokaribia kuisha utajua tofauti kutokana na uzito wake.mitungi ya oxygen inakuwa gauge ya kuonesha imebaki kiasi gani?
Hata hivyo magamba wanahusika tu maana serikali wanayo wao na vyombo vyote vya usimamizi wa kama ni hospitali, shule, kila kitu. System ilio feli ni ya magamba. To me magamba mnahusika tu.Did I blame CCM for this death? please read and comprehend the contents before you start argue. Otherwise we might think either you're stupid or Idiot