Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 485
Hiyo hospital ni ya ccm?
Wamekabithi majukumu yao kwa taasisi za kiraia. Arusha na ukubwa haina huduma za uhakika!
Hiyo hospital ni ya ccm?
Chagua CCM,
Chagua Matatizo!!
Huwezi kumuita aliyefiwa mjinga!
Na walichikifanya maamuzi ambayo hufanywa kwa hasira za kuondokewa na mpendwa wao.
Na kusema suala la oxygen lkupungua liko nje ya muhudumu ! Ni point mbovu kabisa na muhudumu anhusika asilimia 100%.
Wewe kama muhudumu unapewa mgonjwa kupeleka masafa ya mbali. Ni wajibu wako kuhakikisha vifaa vyote ulipewa vitakufikisha huko uendako na kama huna oxygen ya kutosha wajibu wako ni kukataa kumchukua mgonjwa mpaka upewe kila kilicho muhimu.
Sasa kwa kuogopa kutia mchanga unga wake (kibarua) matokeo yake ameua!
Tena ana bahati yuko bongo ambako rushwa imetawala huyo nchi za haki zote au Europe hio ni manslaughter. Huyo nurse na boss wake na doctor aliye saini transfer wote ni kifungo cha miaka mingi mno.
Thamani ya binaadamu ni ndogo sana tz.
Wala msilete siasa kwenye hili janga.
Hiyo hospital ni ya ccm?
Watu bila kuikashifu CCM hawafurahi, matatizo ya wengine yanabebeshwa mtu mwingine.
Hiyo hospital ni ya ccm?
utakuwa na atatizo ya akliHao ndugu wa marehemu ni wakuburuzwa mahakamani mara moja,kitendo cha kuishambulia ambulance si cha kiungwana napendekeza jeshi la polisi likishirikiana na nurse au dereva kwenda kuwatambua hao wahuni kwenye matanga ili hatua kali zichukuliwe,
acha kujidanganya, unachoamini kitaendelea kukutesa kama hutobadili fikra zako.ccm ndo chanzo cha kila ovu hapa tz. hata kibaka akikupora ukichunguza sana utagundua sorce ni ccm....yani ccm ni matatizo kwawatanzania
Sasa unataka CCM izuie kifo cha mtu hata kama ahadi imefika? basi tungeanza na Nyerere.