Tukio hili likikutokea utafanyaje huko mbugani?

Tukio hili likikutokea utafanyaje huko mbugani?

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
11,897
Reaction score
6,933
TEMBO.jpg
 
Unashauriwa kwenda na ma game reserve maana wana mbinu tofauti.
 
Naye kazidisha misifa, yaani hajaona miti yoote hapo hadi ajikunie kwenye ngari?
 
Hapo dawa ni kutokea kioo cha nyuma na kutimua kwa sababu kinachofuata hapo ni pozi la kulala
 
Hapo hakuna ujanja zaidi ya kushuka na kutimua mbio tu!!.... manake inaelekea muda si mrefu atailalia kabisaaaa! manake tembo mwenyewe nahisi amevimbiwa hyo!!...
 
unambembeleza kwa kubonyeza honi ka harusini! pi pii pii ...........pi pi pi...ataondoka!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom