Tukio hili likikutokea utafanyaje huko mbugani?

TEMBO.jpg

napasua kioo cha mbele au cha nyuma nakula kona. hivi hiyo sidemirror ya kulia imepitaje? mia
 
kwanza inavyoonekana huyu tembo anajikuna kwenye hilo gari so akisharudi kwanyuma ili ajikune tena ni kuingiza gia na kukanyaga mafuta kwenda mbele. Najua hataweza kunikimbiza na kunipata maana atabaki na mshangao tu hahahaha
 
Uzito wa tembo kuegemea gari maana yake milango haiwezi funguka, vinginevyo pasua kioo kujiokoa. Jambo jingine usipige honi maana utamkasirisha na hapao atalilakia na gari kubaki kubaki chapati.
 
Back
Top Bottom