Tukinunua umeme wa TANESCO units ziende automatically kwenye mita ya kisasa. Tuachane na habari za kuingiza TOKEN. Is this feasible and implementable?

Pole sana nadhani mimi sio mwalimu mzuri... Ni hivi unanunua umeme kwenye njia yoyote ile lakini automatically unaingia kwenye luku bila kwenda kubofya bofya ile mita. kama ukinunua king'amuzi chanel iznavyorudi automatic.
Duuuh! Pole sana!
 
Si kweli mamaaa!!!
 
mkuu meter zimewekwa ili upate kuingiza hizo tokken lakini pia uweze kujua matumizi ya umeme wako ulonunua kwa maana umenunua unit fulani na muda fulani zimebakia kiasi fulani,ukifanya idea kama hyo utakuja kushangaa umeme umekukatikia saa 7usiku sababu hujui una umeme kiasi gani

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
kwa haraka na kwa urahisi, mita inabidi iwe na sim card, ambayo wewe utatuma izo token kama SMS,

au mita iungwe na server , wewe utatumia USSD kwa simu yako kurichaji meter

izi mita zote wanatoa China uko, makampuni ya Wasion , Clou , nk, nashangaa kwanini wasiongee nao ili ku integrate sim card slot moja kwa moja ukouko uchinani
 
Mchakato wa kuingiza umeme automatically kama unavyohitaji si rahisi kama unavyofikiria maana zipo variables kibao zinazohusika hadi pale units zinapoingia ktk mita yako. Hivi unaponunua airtime token kwa ajili ya simu yako, zile credits ulizonunua je uingia moja kwa mmoja ktk simu yako bila kuzi punch in physically?

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kuhusu kisimbusi mbona tunanunua kwenye simu tu
 
mkuu meter zimewekwa ili upate kuingiza hizo tokken lakini pia uweze kujua matumizi ya umeme wako ulonunua kwa maana umenunua unit fulani na muda fulani zimebakia kiasi fulani,ukifanya idea kama hyo utakuja kushangaa umeme umekukatikia saa 7usiku sababu hujui una umeme kiasi gani

Sent from my iPhone using JamiiForums
Uwepo uwezekano wa kuangalia salio kama tunavyofanya bank
 
OK, nafikiri tukipata wataalamu wazuri wa IT yote yanawezekana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Njia pekee ya kuImplement hili wazo ni lazima kuwe na direct Telecommunication link( atleast downlink connectivity) between Tanesco servers na Customer LUKU Meter.

This communication link can be implemented in several ways:

1. Satellite Communication
Advantage ni Countrywide coverage
Disadvantage ni (a)Expensive option
(b) Only downlink communication possible

2. GSM network
Advantage ni (a)Large part of Tanzania is covered by GSM network(s) already
(b) Two way communication link possible
Disadvantage ni Old technology na might not be supported by manufacturers by 2030.

3. Internet via GPRS and later wireless mobile technologies
Advantage is (a) good coverage countrwide
(b) Two way communication link possible
Disadvantage is it needs internet data bundle.

4. Wired proprietary networking technologies
Advantage: (a) High speed
(b) Two way link possible
Disadvantage: Expensive to implement

Option 3 is best option in my opinion

Pia lazima kufanyike Electronic Hardware modification upande wa LUKU Meter kama ifuatavyo:

Option 1 above needs (a) an antenna or dish to capture satellite signals (b) electronic circuit ya kudemodulate the signal.

Option 2 needs only GSM/GPRS module and mobile phone sim card

Option 3 needs GPRS module and mobile carrier sim-card
 
Sasa kwanini hawafanyi hivo ??

Hawashindwi kufanya hivyo. Suala linaamulia na fact kwamba faida ni ndogo kuliko hasara kulingana na mazingira na uchumi wa mtumiaji wa kawaida wa umeme kwenye hii nchi.

Kadri hasara zinatakapo pungua kulinganisha na faida, ni suala la muda tu hii technology itakuwepo hapa Tanzania.
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya.

Tukinunua umeme wa TANESCO units ziende automatically kwenye mita ya kisasa. Tuachane na habari za kuingiza TOKEN. Is this fissible and implementable?

Hivi, wataalam wa ICT wa TANESCO hawawezi kuja na mita mpya na za kisasa za umeme ambazo zinakuwa linked na servers zao kiasi kwamba ukinunua umeme kwa njia za kutumia electronic machine kama simu ya kiganjani ama maxmalipo basi zile units zinaenda automatically ndani ya mita kama vile umelipia king'amuzi cha DSTV??? Tunaweza kuachana na haya masuala ya kuingiza TOKEN??? Is this possible to implement wakuu??

KIJANA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA.
View attachment 1038433

fissible = feasible
 
Utalaamu wakutumia LUKU tu, tume Copy na ku Paste kutoka South Africa kule Soweto mzungu akionekana ni panga hata wakija kusoma mita za umeme
Kama huku kwetu walikua wakija wasoma mita mbwa zinafunguliwa
Sasa na wewe mleta mada unataka tena kuzidi kutuchanganya na kutuongezea matatizona kausomi kako‍♂️
 
Inawezekana kabisa. Ni suala la teknolojia itayoruhusu mita kuwekewa SIM card tu. Sim card inakuwa kwenye mita. Ukinunua moja kwa moja umeme unaingia kwenye mita. Kama unanunua kwa Voda unaweka sim card ya voda kwenye mita. Inakuwa na namba yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe do umeongea Point zaidi lakini Hii itahitaji Luki meter mpya mzee babaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
imagine ingekua unanunua vocha let say kupitia mpesa then wanakurushia namba ndio uingize mwenyewe!? TANESCO waangalie hii issue kwa ukaribu sana kama inawezekana bafi waitekeleze ila kama itahitaji kubadili meter bas hawataweza kufanya
 
Jambo hili haliwezi kufanyika sasa meter zote inabidi ziwe za gsm, na kama zitakuwa na gsm basi itabidi TANESCO ilipe kampuni ya simu iliyounganiswa nayo, vilevile lazima kuwepo kwa mfumo mpya, wezeshi kufanya hivyo, jambo ili linaweza kuchukua mda ikumbukwe kwamba unapo tumia Technology lengo ni ku lahishisha kazi lakini pia lazima iwe ni Cost efficient, iwapo mfumo ulipo ni wa computer na bado shida yake tu ni kuweka Token bado kitaalamu sio sababu ya kushikika kubadili mfumo, labda kungekuwa na matatizo mengi ya ziada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom