WAKO WAPI WATU WAKO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 2,357
- 3,114
Wengine mna nywele ila akili zimekataa kukaa na kuishi na Nywele, ziko jalalani na Ndg, JiweHaya sawa.Akili ni nywele na kila mtu ana zake.
Wengine mna nywele ila akili zimekataa kukaa na kuishi na Nywele, ziko jalalani na Ndg, JiweHaya sawa.Akili ni nywele na kila mtu ana zake.
7. na 8. Umepiga siasa vilivyo moyoni unajua kina Msukuma and co walifanyacho... bado hapo hatujagusa vyombo dolaNimei LOVE sababu ya kunickesha. Ey
Nitakujibu ifuatavyo.
1.Katiba ya mwananchi ni haki yake ya kimsingi maana sheria nyingi ZILIZOPO zina elements za UKOLONI-Magufuli HAJAKATAA ila timing haikuwa nzuri. Na serikali naamini haikuwa na hela za KUPOTEZA kwa mambo ambayo hayakuwa ni ya KIPAU MBELE
Ilibidi kufanya Maendeleo ya nchi ya nchi kwanza halafu Katiba ITAFUATA.-
Huo NI MTAZAMO WANGU BINAFSI.
2.Katika kufuta Ujinga na umasikni Tanzania chini ya Magufuli imepunguza kiwango cha UMASKINI kwa asilimia kubwa sana kwa asilimoa 8%
Kutoka 34.4% 2007 mpaka {26.4%-2018 kumbuka ni miaka MITATU tu Baada ya Magufuli kushika Utawala.wakuingoza nchi.{ 2019 World Bank Report}
3.Hilo la darasa la saba si kweli. Vijana wengi sasa wanahimizwa wasome na wanasoma kweli. Zingine ni siasa za uongo.
4.Wakulima kwa miaka mingi tulipotoka tu Ujamaa na kuubakiza kwenye nadharia tu, ilichukuwa muda mrefu MKULINA mwenyewe KUJIELEWA. Sasa anaweza kuuza mazao yake atakavyo-SOKO HURU.
5 Ni NGUVU GANI ya vyama vya Ushirika ambayo ungetaka wapewe? Maana vyama vya Ushirika ndo vunahimizwa ili kuwasaidia wakulima WASIDHULUMIWE na MADALI- Hilo si kweli.
6. Binadamu wote ni sawa na Africa ni moja. Mtu mmoja akikosea ni yeye peke yake na si kujumlisha.
7.WALIOCHAGUA UPINZANI ni Watanzania na wana haki yao ya Kikatiba kufanya siasa zao WAKATI UNAPOFIKA kama sasa hivi. siku hizi si WANAKUSANYIKA na tena wanapata coverage ya vyombo vya habari kama TV.? -Hilo pia si kweli.
8. Wanapozuiwa LABDA wahusika wanataka kuvuruga amani ama MATAMSHI ya UCHOCHEZI.La sivyo Sioni sababu ya wao kutouza sera zao kwa USTAARABU.
Naamini nimekujibu nilivyoweza. Kumbuka haya ni MAONI YANGU BINAFSI na ni mtazamo wangu mimi mwenyewe.
Hili la asilimia kubwa zaidi ya 2015 hukunijibu!!
Ni kweli... na huu ndio mfano achilia mbali wanaopewa pesa "wakahonge!!"View attachment 1502131
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inayashikilia magari 10 ya wagonjwa ambayo yalikuwa yagawanywe kwa kata 10 za Jimbo la Same Magharibi na Mbunge wa Jimbo hilo Dkt. Mathayo David kama utekelezaji wa ahadi yake aliyoitoa mwaka 2015.
Magari hayo yalikuwa yagawanywe kwa kata hizo jana tarehe 08.07.2020 kupitia ofisi za CCM Wilaya ya Same lakini TAKUKURU ikaingilia kati na ikamuita Dkt. Mathayo na kumhoji kuhusu tukio hilo, kuelekea mchakato wa kupata wagombea ndani ya CCM kwa ajili ya uchaguzi mkuu
Yalinunuliwa nani?Ni kweli... na huu ndio mfano achilia mbali wanaopewa pesa "wakahonge!!"
sina uhakika kama nimepiga siasa bali ni maoni yangu tu mkuu.7. na 8. Umepiga siasa vilivyo moyoni unajua kina Msukuma and co walifanyacho... bado hapo hatujagusa vyombo dola
Naamini unaweza kunijibu kiungwana zaidi ya jinsi ulivyojibu.Wengine mna nywele ila akili zimekataa kukaa na kuishi na Nywele, ziko jalalani na Ndg, Jiwe
"Akili ziko Jalalani si lugha ya kiistaarabu"Wengine mna nywele ila akili zimekataa kukaa na kuishi na Nywele, ziko jalalani na Ndg, Jiwe
Hili limesemwa sana. Ukiambiwa utoe data na ushahidi wa hilo, jibu utalotuambia ni kuwa nilisikia watu wakisema.Tilioni 1.5 zimeibwa na nani jamani.
Kunakuwaga na wakati watu wengine huwa hawajui nini hasa wanachokitaka. Wengine hufuata mkumbo tu.Hata wananchi pamoja na uhuru wao lakini nao hukosea,
kuna jamaa huko philipino alikuwa mwana mziki aliendesha maandamano kumtoa raisi aliyekuwapo na kuafanikiwa kuchukua hiyo nafasi ya uraisi, na aliungwa mkono na wananchi.
Lakini baada ya miaka miwili nae wakamtoa kwa maadamano, kwa hiyo hawakuchagua kwa usahihi pamoja na uhuru waliokuwa nao,
Pili kuna raisi wa misri aliemtoa mubarak madarakani lakini alipoingia ndo akawa mwiba na kuongeza ma sheria makari
Pia haohao wananchi wakamtoa pia na akahukumiwa kunyongwa.
Sasa jiulize ni hasara ngapi walipata kutokana na maandamano ya mara kwa mara hao wananchi kwa kukosa umakini kwa kigezo cha uhuru wao?
Wananvhi waelimishwe ili wanapohitaji mabadiliko yawe yenye tija na sio kukurupuka na mihemko ya kisiasa na kingizia taifa hasara zisizo na tija.
Kwa hiyo aliyesema alitolewa "jalalani" na ile kauli ya "wapumbavu" ni kauli za kiungwana?"Akili ziko Jalalani si lugha ya kiistaarabu"
Nikitoa jawabu katika swali ambalo unayo majibu yake sitokutendea haki na mwisho wa siku utaona aidha ninakutusi au nakukosea adabu.Yalinunuliwa nani?
Huwezi kuwa na hakika kwa kitu ambacho una uhakika nacho hili silishangai wala halitanishangazasina uhakika kama nimepiga siasa bali ni maoni yangu tu mkuu.
Haya bhana acha nikubali.Huwezi kuwa na hakika kwa kitu ambacho una uhakika nacho hili silishangai wala halitanishangaza
Wewe ni muungwana, Hata ukinijibu kimihemko ama kimuegemeo bila tusi stajali.Nikitoa jawabu katika swali ambalo unayo majibu yake sitokutendea haki na mwisho wa siku utaona aidha ninakutusi au nakukosea adabu.
Inategemea nasentensi ilivyotumika katika wakati husika .Kwa hiyo aliyesema alitolewa "jalalani" na ile kauli ya "wapumbavu" ni kauli za kiungwana?
Ahaa wanena vema kwa hiyo waliodai kuokotwa jalalani wakiambiwa hivyo itakuwa wametusiwa?Inategemea nasentensi ilivyotumika katika wakati husika .
Huwezi kumwambia mtu kwa mfano "Wee mtu wa jalalani utatuambia nini?"
Utakuwa umemdhalilisha.
Nafikiri lugha yeyote isiyo na staha si lugha nzuri. bila kujali ni nani ametumia.Ahaa wanena vema kwa hiyo waliodai kuokotwa jalalani wakiambiwa hivyo itakuwa wametusiwa?
Ila je lile la malofa wapumbavu linatumika wakati sahihi au sio?
Nilikuomba utupe ushahidi wa madai yako yasiyo na msingi, umeeamua kuishia mitini maana ulijua fika kuwa ni UONGO mtupuTilioni 1.5 zimeibwa na nani jamani.