Tukikumbuka ya Magufuli, hatutayasahau ya Bernard Membe

shige2

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
8,106
3,967
Watanzania si wasahaulifu wa mambo na wala si watu wasiojua mbichi na mbivu. Tofauti ya Rangi nyeupe na kijani,manjano ama nyekundu. Hii siile miaka ambayo siasa ilikuwa ni ya kishabiki.

Wananchi walidanganywa wazi wazi na WANASIASA kwa sababu hawakuwa na namna waliendelea kutawaliwa, KUNYANYASHWA, na kubaki katika UMASKINI wao.
Wananchi walitumika kama MITAJI ya KISIASA kwa wenye NGUVU za KIFEDHA na uchu wa madaraka.

Kwenye KAMPENI zao wananchi WALIAAHIDIWA ahadi kibao. Waliambiwa mtapata hiki na kile oh mtapata maji WAnasiasa walipoingia madarakani.AHADI nazo zikawa ni AHADI tu.
Wakaahidiwa maendeleo na USTAWI, badala yake WALICHOAMBLIA ni UMASKINI uliokithiri.

Wakaahidiwa UMOJA na USAWA na badala yake walichoambulia ni UTENGANO wa WALICHONACHO na WASIO NACHO.
kumbuka huku wengine wakiwa CHAMANI CCM walikua WAKILA mali ya CHAMA na kuifanya ni kama yao. Yaani vurugu mechi tu.Mpaka Magufuli alipotokea KULIPONYA TAIFA.

Wakati haya yote yanafanyika Benard Membe and Co. ndo walikuwa MSTARI wa mbele chamani/ the DEEP STATE fellas/watu wa ndani na wa karibu...

Akiwa Wizara ya mambo ya nje hakukuwa na utaratibu NA MENGINE HATUWEZI KUYASEMA HAPA.,
Balozi zetu zilikuwa kama shamba la bibi.
Hela nyingi ilitumika vibaya na watu waliokuwa on tour of duty/KAZI za Kibalozi/ni }nk wengine WALIDIRIKI hata KUKATA kurudi Tanzania maksudi, hivyo kuendelea kukaa huko majuu kwa kadri ya MUDA walivyopenda wenyewe. KINYUME kabisa na TARATIBU za tour of duty katika wizara ya Mambo ya Nje.
Kama ULIJUANA na Membe mambo yako yalikuwa ni mazuri.

Kama WIZARA ILIMSHINDA TAIFA ZIMA ATALIWEZA?
Uongozi si ujuzi wa kuzungumza /ELOQUENCE. Na ni zaidi ya kuzunguka zunguka nchi za nje.

SWALI: Ni nini kipya atakachowaambia Watanzania hasa baada ya MAGUFULI KUREKEBISHA both madudu serikalini na CHAMANI ambacho yeye mwenyewe ndo alikuwemo?

Ni maendeleo yapi ambayo Benard Membe ATAFANYA ama MAWAZO/IDEAS mpya ambazo atawauzia Watanzania sera WAZINUNUE?

Tusidanganyane Benard Membe HAFAI kuwa RAIS.
Rais Magufuli aendelee na maono yake kwa wanyonge na wasio na sauti.
Watanzania wanachotaka sasa na WALISHAKIPATA ambao ni UONGOZI ulio na MAONO/VISION.
Na Si SIASA tupu tena.
Hatutakubali kutumika tena KAMA MITAJI ya WATU.

Sasa tuna miundombinu mizuri, Hospitali, Zahanati, SGR, MAJI, Barabara nzuri ,Na pia UCHUMI wa KATI ambao Tanzania wamepewa MIAKA 5 mapema zadi kabla ya wakati 2025 hii ni kusema Magufuli anakubalika KIMATAIFA.
Hizi zinginezo ni mbwebwe za Membe.
TUKIKUMBUKA yale MAZURI JPM aliyoyafanya kwa muda mfupi sana pia HATUTASAHAU UNAFIKI wa Benard MEMBE
 
Magufuli ndo kafanya Nini Cha maana ? wote magamba tu watupishe wametuchelewesha na lichama lao la hovyo, yaani baada ya Miaka 60 ndo tumeingia uchumi wa chini Kati?
2015 kiuhalisia hatukuchagua CHAMA bali MTU. Na ndo maana Magufuli akaja akakitengeneza.
Sasa chaonekana kinatimiza na ANATIMIZA aliyoyaahidi
 
Magufuli ndo kafanya Nini Cha maana ? wote magamba tu watupishe wametuchelewesha na lichama lao la hovyo, yaani baada ya Miaka 60 ndo tumeingia uchumi wa chini Kati?
Kwa nini hamuoni mazuri yeyote kwa Magu?
 
2015 kiuhalisia hatukuchagua CHAMA bali MTU. Ma na ndo maana akaja akakitengeneza.
Sasa chaonekana kinatimiza na ANATIMIZA aliyoyaahidi
Ndo maana kama angeenda na kuimba CCMwakatiwa2015 CCM ingeshindwa vibaya. Maana watu walikuwa wamechoka na kidanganywa.
Yeye kwenye kampeni yake alitumia busara akisema na kutumia neno "SERIKALI ya MAGUFULI"
Akijua fika kina Membe hao hao walishaharibu mambo.
 
Magufuli ndo kafanya Nini Cha maana ? wote magamba tu watupishe wametuchelewesha na lichama lao la hovyo, yaani baada ya Miaka 60 ndo tumeingia uchumi wa chini Kati?
Mliberali hope nimekujibu vyema. Ama sivyo?
 
Kwa nini hamuoni mazuri yeyote kwa Magu?
Ambao hawaoni Mazuri ni wale walioingia kwenye siasa kwa Lengo lifuatalo
1. Misifa tu- Yaani Jamii imuite Mhe na hana lingine lolote zaidi ya hilo. Mtu wa aina hii anajifanya kama kwenye kuongeza hakuna Mwingine zaidi yake Mfano Mbow.
2. Kujinufaisha- Huyu Muda Mwingi kazi yake ni kutafuta Madili kwa ajili ya Maslahi yake binafsi na si ya Chama chake wala Wananchi anaowaongoza Mfano Kabwe, Lissu, Mbow,.
3. Kutafuta kutumika kwa Maslahi ya Wafadhili/Wahisani- Uswahilini wanamwita Papeti- Ni wale wanaingia kwenye siasa kwa Lengo la kulinda Maslahi ya waliowatuma na kwa Maslahi ya Mataifa yao. Huyu ni hatari zaidi maana anatumiwa kama Remote Control Mfano Zitt na TLS.
4. Kuikwamisha Serikali iliyopo Madarakani isitekeleze Miradi ya Maslahi Mapana ya Kitaifa: Hawa Lengo lao kuu ni kuwandaa Wananchi Kisaikolojia kuichoka Serikali iliyopo Madarakani. Mfano Zitt na TLS.
5. Kuichafua Serikali Kimataifa: Hawa Lengo lao nikusaidia Mataifa Washindani kiuchumi dhidi yetu waweze kuonekana ni bora. Hawa Mara nyingi wanatabia ya kujikomba kwa kuomba omba kimataifa Mfano Zitt.

Kwa Siasa za Mwaka 2020 JPM anaweza Kushinda kwa zaidi ya asilimia 95 hata huko Marekani.
 
Kwa sasa hakuna mtanzania anaruhusiwa kukanyaga EU zone. Kama kukubalika kimataifa kwa utawala wa sasa ndio huko basi Tanzania imekubalika sana kimataifa kipindi cha utawala wa Magufuli.
 
Watanzania si wasahaulifu wa mambo na wala si watu wasiojua mbichi na mbivu.Tofauti ya Rangi nyeupe na kijani,manjano ama nyekundu. Hii siile miaka ambayo siasa ilikuwa ni ya kishabiki.

Wananchi walidanganywa wazi wazi na WANASIASA kwa sababu hawakuwa na namna waliendelea kutawaliwa, KUNYANYASHWA, na kubaki katika UMASKINI wao.
Wananchi walitumika kama MITAJI ya KISIASA kwa wenye NGUVU za KIFEDHA na uchu wa madaraka.

Kwenye KAMPENI zao wananchi WALIAAHIDIWA ahadi kibao. Waliambiwa mtapata hiki na kile oh mtapata maji WAnasiasa walipoingia madarakani.AHADI nazo zikawa ni AHADI tu.
Wakaahidiwa maendeleo na USTAWI, badala yake WALICHOAMBLIA ni UMASKINI uliokithiri.

Wakaahidiwa UMOJA na USAWA na badala yake walichobulia ni UTENGANO wa WALICHONACHO na WASO NACHO.
kumbuka huku wengine wakiwa CHAMANI CCM walikua WAKILA mali ya CHAMA na kuifanya ni kama yao. Yaani vurugu mechi tu.Mpaka Magufuli alipotokea KIPONYA TAIFA.

Wakati haya yote yanafanyika Benard Membe and Co. ndo walikuwa MSTARI wa mbele chamani/ the DEEP STATE fellas/watu wa ndani na wa karibu...

Akiwa Wizara ya mambo ya nje hakukuwa na utaratibu NA MENGINE HATUWEZI KUYASEMA HAPA.,
Balozi zetu zilikuwa kama shamba la bibi. Hela nyingi ilitumika vibaya na watuwaliokuwa on tour of duty/Kzaoza kibalozi/ni nk wengine WALIDIRIKI KUKATA kurudi Tanzania maksudi hivyo kuendelea kukaa huko majuu kwa kadri ya MUDA waliopenda. KINYUME kabisa na TARATIBU za tour of duty katika wizara ya Mambo ya Nje.
Kama ULIJUANA na Membe mambo yako yalikuwa ni mazuri.

SWALI: Ni nini kipya atakachowaambia Watanzania hasa baada ya MAGUFULI KUREKEBISHA both madudu serikalini na CHAMANI ambacho yeye mwenyewe ndo alikuwemo?

Ni maendeleo yapi ambayo Benard Membe ATAFANYA ama MAWAZO/IDEAS mpya ambazo atawauzia Watanzania sera WAZINUNUE?

Tusidanganyane Benard Membe HAFAI kuwa RAIS.
Rais Magufuli aendelee na maono yake kwa wanyonge na wasio na sauti.
Watanzania wanachotaka sasa na walichakipata ni UONGOZI ulio na MAONO/VISION.
Na Si SIASA tupu tena.
Hatutakubali kutumika tena KAMA MITAJI ya WATU.

Sasa tuna miundombinu mizuri, Hospitali, Zahanati, SGR, UCHUMI wa KATI ambao Tanzania wamepewa MIAKA 5 mapema zadi kabla ya wakati hii ni kusema Magufuli anakubalika KIMATAIFA.
Hizi zinginezo ni mbwebwe za Membe.

50M kila kijiji,laptop kwa kila mwalimu,elimu bure,mikopo ya elimu ya juu kwa wanafunzi wote,kuboresha maslahi ya wafanyakazi, kuboresha kilimo na kutafuta masoko kwa wakulima,Tanzania ya viwanda nimeyataja kwa uchache vipi yametekelezwa hayo Bwasheee?

Magufuli amekuwa waziri for 20yrs kwenye serikali ya chama gani? Kuna madudu mangapi ameyafanya kule wizara ya ujenzi,wizara ya nyumba,ardhi na makazi,na wizara mifugo na uvuvi? Pale Ikulu kuna madudu mangapi anayafanya?

Njaa mbaya sana zinawatoa akili na kubakia na akili ya kusifu na kuabudu tu.
 
Swala si Nani anafaa
Swala ni Uhuru wa wananchi kusema yupi anafaa na yupi hafai..
Uhuru huo upo?

Hata wananchi pamoja na uhuru wao lakini nao hukosea,
kuna jamaa huko philipino alikuwa mwana mziki aliendesha maandamano kumtoa raisi aliyekuwapo na kuafanikiwa kuchukua hiyo nafasi ya uraisi, na aliungwa mkono na wananchi.
Lakini baada ya miaka miwili nae wakamtoa kwa maadamano, kwa hiyo hawakuchagua kwa usahihi pamoja na uhuru waliokuwa nao,

Pili kuna raisi wa misri aliemtoa mubarak madarakani lakini alipoingia ndo akawa mwiba na kuongeza ma sheria makari
Pia haohao wananchi wakamtoa pia na akahukumiwa kunyongwa.
Sasa jiulize ni hasara ngapi walipata kutokana na maandamano ya mara kwa mara hao wananchi kwa kukosa umakini kwa kigezo cha uhuru wao?

Wananvhi waelimishwe ili wanapohitaji mabadiliko yawe yenye tija na sio kukurupuka na mihemko ya kisiasa na kingizia taifa hasara zisizo na tija.
 
50M kila kijiji,laptop kwa kila mwalimu,elimu bure,mikopo ya elimu ya juu kwa wanafunzi wote,kuboresha maslahi ya wafanyakazi, kuboresha kilimo na kutafuta masoko kwa wakulima,Tanzania ya viwanda nimeyataja kwa uchache vipi yametekelezwa hayo Bwasheee?

Magufuli amekuwa waziri for 20yrs kwenye serikali ya chama gani? Kuna madudu mangapi ameyafanya kule wizara ya ujenzi,wizara ya nyumba,ardhi na makazi,na wizara mifugo na uvuvi? Pale Ikulu kuna madudu mangapi anayafanya?

Njaa mbaya sana zinawatoa akili na kubakia na akili ya kusifu na kuabudu tu.
Nashukuru kwa yale uliyoyataja. Kwanza kabisa hili naomba niliweke wazi. SINA NJAA nimepata mavuno ya chakula cha kutosha na SIHITAJI KUOMBA chakula..
Turudi kwenye mada yetu. Nilitumia neno Benard MEMBE ALIKUWA inside/ndani "DEEP STATE" Kama unaelewa maana The Deep State Utanielewa. Kama hutanielewa itakuwa ni vigumu kunipata.

Magufuli hakuwa ndani ya DEEP STATE. Kwa hiyo Membe na Magufuli ni watu wawili walio TOFAUTI KABISA.
Madudu unayoyasema ni MADAI tu dhidi ya Magufuli. Hayana ukweli wowote.
Yale niliyoyasema kuhusu Membe ni FACTS tupu/KWELI KWELI.
Mambo yanayohusu IKULU na mambo yake mimi siyajui maana niko kijijini. Labda wewe UTUAMBIE ni Madudu gani hayo unayoyajua ili nasi tufunguke macho!!!!!!
 
Ambao hawaoni Mazuri ni wale walioingia kwenye siasa kwa Lengo lifuatalo
1. Misifa tu- Yaani Jamii imuite Mhe na hana lingine lolote zaidi ya hilo. Mtu wa aina hii anajifanya kama kwenye kuongeza hakuna Mwingine zaidi yake Mfano Mbow.
2. Kujinufaisha- Huyu Muda Mwingi kazi yake ni kutafuta Madili kwa ajili ya Maslahi yake binafsi na si ya Chama chake wala Wananchi anaowaongoza Mfano Kabwe, Lissu, Mbow,.
3. Kutafuta kutumika kwa Maslahi ya Wafadhili/Wahisani- Uswahilini wanamwita Papeti- Ni wale wanaingia kwenye siasa kwa Lengo la kulinda Maslahi ya waliowatuma na kwa Maslahi ya Mataifa yao. Huyu ni hatari zaidi maana anatumiwa kama Remote Control Mfano Zitt na TLS.
4. Kuikwamisha Serikali iliyopo Madarakani isitekeleze Miradi ya Maslahi Mapana ya Kitaifa: Hawa Lengo lao kuu ni kuwandaa Wananchi Kisaikolojia kuichoka Serikali iliyopo Madarakani. Mfano Zitt na TLS.
5. Kuichafua Serikali Kimataifa: Hawa Lengo lao nikusaidia Mataifa Washindani kiuchumi dhidi yetu waweze kuonekana ni bora. Hawa Mara nyingi wanatabia ya kujikomba kwa kuomba omba kimataifa Mfano Zitt.

Kwa Siasa za Mwaka 2020 JPM anaweza Kushinda kwa zaidi ya asilimia 95 hata huko Marekani.
Acha kuwa Sarcastic/Kutuletea mzaha na vichekesho.Wewe jibu hoja na kama imekulemea hii mada waachie wabobezi wako.
 
Samahani mkuu sikuwa Nimeona ulichoandika hapo juu. Pointi zako ni VALID/SAFI sana.. SAMAHANI tena SANA.
 
Kwa sasa hakuna mtanzania anaruhusiwa kukanyaga EU zone. Kama kukubalika kimataifa kwa utawala wa sasa ndio huko basi Tanzania imekubalika sana kimataifa kipindi cha utawala wa Magufuli.
Sophist unauhakika na ulichomkiandika?
Usiudanganye umma/Watanzania .Watanznaia wanakubalika sana.
LILE LA EU ni lao iliKUZUIA MAAMBUKIZI ya COVID 19/SARS COV2.

Kutokana na hilo Nchi za EU zimezuia nchi kadhaa hata WAMAREKANI haWAruhusiwi KUKANYAGA za ya EU.

Ili ni kusaidie.
Wiki iliyopita part 1.
WAMAREKANI kadhaa walikuja na ndege yao /PRIVATE JET mpaka MILANI.iTALY
Walipotua wakaambiwa RUDINI mlikotoka.
Walisihi sana ili waruhusiwe kuwa na holiday nchini humo. Wa ITALIA wakasema MRUDI tu. Ilibidi Wapande ndege yao na kurudi kwao huku wakilaani na kukasirika vilivyo.
Kwahiyo usitudanganye.
 
Kutokana na hilo Nchi za EU zimezuia nchi kadhaa hata WAMAREKANI haWAruhusiwi KUKANYAGA za ya EU.
COVID 19 inamalizika lini? Uganda, Zambia na Rwanda nazo zimezuiwa kuingia Eurozone? Tanzania ni WHO COVID 19 compliant?
 
Nilikujibu vizuri sana. Mengine ni Technicalities za WHO.
 
COVID 19 inamalizika lini? Uganda, Zambia na Rwanda nazo zimezuiwa kuingia Eurozone? Tanzania ni WHO COVID 19 compliant?
Pia ningependa kukushauri. Kutopenda nchi yako na mara kwamata kuitakia mabaya si BUSARA bali ni kukosa uzalendo.
Hata kama wewe niwachama kingine.Hiyo hailipi
 
Back
Top Bottom