Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 6,323
- 8,236
Mimi naona tungeendelea kuwatumia ma professors wa vyuo vikuu hawana tamaa na pesa kabisa wanaridhika wangefanya kazi vizuri sana,
WanaCCM wenzetu wangeendelea kukaa tu bungeni huko hawawezi kutuibia.
Lakini kuendelea kuwatumia wana CCM wenzetu kutatukwamisha sana sana.
Yaani mimi nafikiria mbali kidogo, ni hivyo tu.
Wana CCM niwajanja sana wapo kwenye political game, kushindwa kwako wao ndio furaha yao, wao ndio fursa kwao, wao ndio shibe yao.
Sasa ni vizuri kucheza tu kama pele japo usipowapa vyeo watalalamika.
Sasa unafanyaje, ni kucheza kama Pele.
Wapinzani nao ni wanafiki na washauri wabaya.
Hivyo ni vyema ufuate ushauri wa akili yako tu.
Moja ya mbinu ya kuitumia ili uwe na serikali isiyoyumbishwa ni kuteua na kutumia watu walioridhika na maisha na watakao kusikiliza.
WanaCCM na wapinzani wengi hasa waliogombania ubunge na kushinda na waliopo kwenye siasa kwa muda mrefu sii wasikivu hasa pale unapowatuma wafanye jambo na walitekeleze kwa wakati. Wao siku zote hufikiria hatima yao ya kisiasa badala ya kufanya kazi.