Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Katika nilizo zitaja hapo juu, hii Camau sijawahi itumia ni rafiki yangu ali recommend. Nikaona si vibaya nikajaribu, ila ndio bado sijapata.
NB: Changamoto mojawapo ya utumiaji wa perfume niliyoigundua ni kwamba perfume aina moja inaweza kukuvutia wewe sana, lakini kwa mwingine ikawa kinyume chake. Hivyo la msingi ni kufuata nafsi yako inachofurahia zaidi. Hizi recommendations za watu wengine zitatusaidia tu kutupa mwongozo au mwelekeo fulani, lakini mwamuzi wa mwisho ni wewe mtumiaji wa bidhaa husika.
Umenena vema kabisaa.
 
ulichoongea kina ukweli 100%,, kila nikibadili unyunyu najiona kama nakosea😆,, ila nikitumia shalis nakuwa na amani ya kutosha
 
Attachments

  • Shalis-Cologne-Remy-Marquis.png
    Shalis-Cologne-Remy-Marquis.png
    98 KB · Views: 32
1. Liquid Brun 95,000
2. Vintage Radio 80,000
3. Club de nuit intense Man 130,000/=
4. 9PM 150,000
Ukizigaka kama.uko popote pale TZA Nicheki inbox. Hata kama uko Mkoani na Basi toka DAR zinafika huko. Utaipata.
Sijaweka picha ya Cdnim ni very common. Inajulikana sana.
Nasikia hiyo Intense Man ni balaa na nusu.
 
Bei ikoje?
haina gharama kubwa, kuna chupa mbili kubwa na ndogo, kubwa ni elf 30 - 40,
chupa ndogo ni elf 25 - 30,

bei zinabadirika badirika, ila pia kuna za kike pia,, ila cha ajabu hata wanawake wanazipenda za kiume,, ya kiume ina harufu yake na ya kike ina harufu yake pia, ila ya kiume inakimbiza mwizi kimyakimya 😄,,

nilienda kwa jamaa yangu nikajiachia kwa sofa nikaacha harufu pale,, shem akawa ananitania uje utoe harufu yako 🤣,,
 
Ha ha ha haya ndo mambo napenda. Inakaa kwenye nguo kwa muda gani?
 
Mie ni mlevi wa hivi vitu,,
1,, pale utakapoiweka lazima panukie yaani chumba kizima
2,, harufu kutoka labda ufue nguo

tegemea kuulizwa na wanao kuzunguka😆

kwangu mimi naielewa,, ila cha ajabu unaweza wewe usiipende hata kidogo,, lakini kama tunafanana minuso basi inaweza kuwa bora,,,

Mwaka 2012 nilikutana na jamaa angu tuliyepotezana nae kwa miaka kazaa,, akakuta nanukia huu unyunyu akaupenda sana, sikuwa na hiyana nikampeleka shop akachukua, kipindi kile bei ilikuwa ndogo ni elf 15 kwa 20,,
 
Ni zaidi ya creed na Now Rave?
 
Back
Top Bottom