Itzmusacmb
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 1,531
- 1,133
Hebu tujuzane hapa aina ya Perfume au Body spray unayotumia! Mimi natumia Knowledge Perfume, wewe je?
38000/= but bei hulingana na muuzajiInauzwa sh ngap
Ok ngoja waorodheshe then tuchague kakakeUninunulie moja dadake
Mimi co mwanaume wa dar
Bei kwa kila aina Mkuu!Blue Royale.
Love intention.
Active man.
Knowledge.
Fantasy.
Feelings.
inauzwaje dukani?View attachment 360643Hebu tujuzane hapa aina ya Perfume au Body spray unayotumia!!
Mimi natumia Knowledge Perfume,
Ww jee?
Mi sijawahi jaribu Perfume yake? inaonekana iko poa. nimeishia body spray yake tuMie natumia knowledge perfume na spray yake
View attachment 360643Hebu tujuzane hapa aina ya Perfume au Body spray unayotumia!!
Mimi natumia Knowledge Perfume,
Ww jee?
Blue Royale.
Love intention.
Active man.
Knowledge.
Fantasy.
Feelings.