John Sin
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,221
- 16,353
HahahaTubikra kama twote.. hongera mkuuš
HahahaTubikra kama twote.. hongera mkuuš
Mi kuna perfume waliisifia weee nkasema acha nikanunue inaitwa Club De Nuit Intense Man, nikalipa 120 kuja kusikia harufu yke aisee nilichoka najuta bora ningeendelea na perfume zngu za 40.Mimi Creed aventus imenishinda ingawa niliinunua kwa bei kubwa aise,yani nimeishia kumpa binti yangu wa chuo,Nimebaki na collection zangu za kizamani One Million+Blue De Chanel+Sauvage na hivi karibuni nimeongeza Strong na Reef 33 na Imagination ya L.Vuitton.
Ila natafuta za kiarabu kama 2 hivi ili niongezee kwenye collection yangu,nimeambiwa moja unaitwa Noir.
Nakuhakikishia jaribu INVICTUS utaleta mrejeshoMimi Creed aventus imenishinda ingawa niliinunua kwa bei kubwa aise,yani nimeishia kumpa binti yangu wa chuo,Nimebaki na collection zangu za kizamani One Million+Blue De Chanel+Sauvage na hivi karibuni nimeongeza Strong na Reef 33 na Imagination ya L.Vuitton.
Ila natafuta za kiarabu kama 2 hivi ili niongezee kwenye collection yangu,nimeambiwa moja unaitwa Noir.