Mlolongo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 3,654
- 6,545
Weekend iliyopita nlienda kwa shemu wangu, nlikaa kwa sofa lake ule mtindo wa kujimwaga,,, basi juzi mshakaji wangu ananitania usije kwangu maana umeacha harufu yako, mamaa kila akikaa ktk lile sofa lazima aseme naskia harufu ya kush,,![]()
Shemu ananiambia niende tena nikaongeze harufu yangu,,
Nikacheka tu
Wewe nae, basi hii story tangu 2020 unairudia tu.haina gharama kubwa, kuna chupa mbili kubwa na ndogo, kubwa ni elf 30 - 40,
chupa ndogo ni elf 25 - 30,
bei zinabadirika badirika, ila pia kuna za kike pia,, ila cha ajabu hata wanawake wanazipenda za kiume,, ya kiume ina harufu yake na ya kike ina harufu yake pia, ila ya kiume inakimbiza mwizi kimyakimya 😄,,
nilienda kwa jamaa yangu nikajiachia kwa sofa nikaacha harufu pale,, shem akawa ananitania uje utoe harufu yako 🤣,,
Halaf kila ukisimulia unasema weekend iliopita.