Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Hizi perfume tungeziweka makundi matatu;
1. 15,000shs hadi 50,000shs ambazo ndio za watu wengi
2. 50,000shs hadi 150,000shs kundi linalofuata
3. 150,000shs na kuendelea- kundi la wachache
 
haina gharama kubwa, kuna chupa mbili kubwa na ndogo, kubwa ni elf 30 - 40,
chupa ndogo ni elf 25 - 30,

bei zinabadirika badirika, ila pia kuna za kike pia,, ila cha ajabu hata wanawake wanazipenda za kiume,, ya kiume ina harufu yake na ya kike ina harufu yake pia, ila ya kiume inakimbiza mwizi kimyakimya 😄,,

nilienda kwa jamaa yangu nikajiachia kwa sofa nikaacha harufu pale,, shem akawa ananitania uje utoe harufu yako 🤣,,
wanawake wengi nikiwa mmoja wapo mimi napenda perfume za kiume kwa sababu utengenezwaji wake ni tofauti na nyingi ni strong sababu wanaume kwa kawaida huwa wanajasho kali sio kama hamna wanawake wenye harufu kali i mean jasho (wapo pia) point yangu ni kwamba ili kuendana na jasho la wanaume wayengenezaji wengi wa perfume za kiume huenda extra ili kuwasaidia kunukia vizuri zaidi, tofauti na perfum nyingi za kike n soft sio strong kama za kiume
 
Wacha nikujuze top 3 yangu
1.Aventus 90%
(leo nimegongea kwa mshikaji,OG kabisaa) club nuit intense hazifanani labda dry down, na clone zingine nyingi, aventus inakaa hapo namba moja, Mola akinijalia labda nitafunga macho siku ninunue OG.

2 Azzaro Chrome 85%
Bei sio ya moto sana ila ina heshima yake mjini, sema longetivity yake kidogo haijanifurahisha ama nisubiri msimu wa joto then nitakuja kuleta review yake tena

3.Lacoste white 85%
Ya kipekee sana na inakaa

Bonus….black opium+cool water=🔥
Changanya OG utanishukuru

Kuna jamaa ameisifia bottega venetta, nime test sample sijaona maajabu
 
Attachments

  • IMG_5140.jpeg
    IMG_5140.jpeg
    558.1 KB · Views: 26
  • IMG_5138.jpeg
    IMG_5138.jpeg
    488.1 KB · Views: 31
Kuna perfume ya wadada inaitwa scandal sijui nimepatia jina. Aisee hio ni balaa

Jean Paul Gaultier ana balah...

Hata matoleo ya kiume ya Scandal huwa yapo vizuri, jamaa mizigo yake huwa ina longetivity sana
 
Way to start 2026, a small collection from Sephora.

Got DG The One EDP 150mls at a winter sale price...

Unataka kunukia hadi wachuchu waulize huyu ni nani kwa room, then tumia hizi makitu...

20260109_001454.jpg
 
Back
Top Bottom