Tujiulize: Kwa nini JK alitaka Masha ashinde Ubunge?

Tujiulize: Kwa nini JK alitaka Masha ashinde Ubunge?

Jamani wadau wa jf msiwe wepesi kusahau , kuanguka kwa jimbo la nyamagana hiyo ina maana kuanguka kwa injinia wa dili kubwa kuliko zote ambalo lingempatia jk na masha pesa kubwa ambayo hawajawahi kupata katika dili zote walizowahi kupiga nayo ni dili ya vitambulisho vya taifa ambayo masha alikuwa alete kampuni yake kutoka nje ya nchi kwa baraka za jk,pia kuanguka huko kuna maana sasa yu hatarini kushitakiwa kwa wizi wa fedha za umma kutoka bot akiwa na kampani yake na wanasheria wa imma,waliompa kazi kwa mara ya kwanza mtoto wa kikwete..........habari ndiyo hiyo...........na connection ndiyo hiyo.......mi mtembezi bwana naendelea kutembea!
 
kumbe ndo maana walikuwa wakihangaika!!!!!!!!!!!! endelea kutembea mkuuu
 
Kwani bongo kuna kitu gani cha kumzuia JK kumteua Masha ubunge na kisha uwaziri wake ule ule ?

Hapa ndipo utaona upuuzi wa "kupita bila kupingwa". Masha bado kidogo apitishwe bila kuchaguliwa.

Kumbe watu hawamtaki.
 
oookey du! dili limegoma atapewa ubunge wakuteuliwa huyu!
 
Kwani bongo kuna kitu gani cha kumzuia JK kumteua Masha ubunge na kisha uwaziri wake ule ule ?

Hapa ndipo utaona upuuzi wa "kupita bila kupingwa". Masha bado kidogo apitishwe bila kuchaguliwa.

Kumbe watu hawamtaki.

Viti 10 vya Rais vimeshajaa zamani...atamteua vipi?
 
jamani wadau wa jf msiwe wepesi kusahau , kuanguka kwa jimbo la nyamagana hiyo ina maana kuanguka kwa injinia wa dili kubwa kuliko zote ambalo lingempatia jk na masha pesa kubwa ambayo hawajawahi kupata katika dili zote walizowahi kupiga nayo ni dili ya vitambulisho vya taifa ambayo masha alikuwa alete kampuni yake kutoka nje ya nchi kwa baraka za jk,pia kuanguka huko kuna maana sasa yu hatarini kushitakiwa kwa wizi wa fedha za umma kutoka bot akiwa na kampani yake na wanasheria wa imma,waliompa kazi kwa mara ya kwanza mtoto wa kikwete..........habari ndiyo hiyo...........na connection ndiyo hiyo.......mi mtembezi bwana naendelea kutembea!

mtoto wa mkwere yupi riki au yule scout wa kina marlow??????
 
Mtembezi,
Uliyoandika nami nimeyasikia toka kwa chanzo mahsusi. Na nyongeza ya hapo kuna ISHARA na IMANI kuwa IMMA imekuwa ikifanya kazi kinyume na sheria na nje ya utaratibu wa Tasnia ya Sheria ikishiriki ktk scandals mbalimbali zilizokwishabainika na zingine ambazo bado ni harufu au zimeonekana miale tu. Na uwezo wa Lau kuzifanya bila kuriki ktk serikali ya awamu hii ya 4 ndo chimbuko la kupendwa na kuaminiwa ZAIDI na Fisadi's camp.
 
Anatakiwa kuteua wabunge kwanza sita hivi, atamuweka nani na kumuacha nani kulivyo na rundo la watu wanaoshubiri huo uteuzi, kumbuka riz one na bi salama nao wanasubiri uteuzi huo huo
 
mnmjua jaji alocius mujulizi? nasikia naye alikuwa IMMA pamoja na masha. kama masha akishtakiwa anaweza kupelekewa kesi hiyo
 
habari toka MZA zinasema Wenje alikataa donge nono - jamani nono si mchezo ili kwanza ajoe baada ya kurudishwa na tume ya taifa ikashindikana.

Pili Baada ya ushindi wa Juzi alifuatwa tena na lile donge alilokataa mwanzo kuzidishwa times 3, lakini WENJE akagoma. tumsifu sana wenje maana ana moyo wa pekee angeweza kuwatosa wapigakura wake.

Pesa pesa pesaaaaaaaaaa - Pigeni simu mwanza muongee na wadau wa huko watawahabarisha zaidi, ilikuwa noma noma nomaa.
 
Mie nawaone huruma wote watakaoteuliwa kuwa mawaziri bunge hili...maana hizi bunduki zinazoenda si mchezo... Peoples power at work
 
Back
Top Bottom