Jamani wadau wa jf msiwe wepesi kusahau , kuanguka kwa jimbo la nyamagana hiyo ina maana kuanguka kwa injinia wa dili kubwa kuliko zote ambalo lingempatia jk na masha pesa kubwa ambayo hawajawahi kupata katika dili zote walizowahi kupiga nayo ni dili ya vitambulisho vya taifa ambayo masha alikuwa alete kampuni yake kutoka nje ya nchi kwa baraka za jk,pia kuanguka huko kuna maana sasa yu hatarini kushitakiwa kwa wizi wa fedha za umma kutoka bot akiwa na kampani yake na wanasheria wa imma,waliompa kazi kwa mara ya kwanza mtoto wa kikwete..........habari ndiyo hiyo...........na connection ndiyo hiyo.......mi mtembezi bwana naendelea kutembea!