Tujiulize: Kwa nini JK alitaka Masha ashinde Ubunge?

Tujiulize: Kwa nini JK alitaka Masha ashinde Ubunge?

No actually Marsha na ile IMMA Advocates (kampuni yake) walihusika na Deep Green amabayo iliingiza pesa kibao kwenye uchaguzi 2005. In fact watu walijua Marsha atakuwa Waziri (naibu) hata kabla ya uchaguzi kumalizika 2005!!

Na mmoja wa partners wa IMMMA JK kampa u Judge!
Ndio tunataka tubadilishe katiba, majudge wawe confirmed na Bunge .... sio kugawa u judge kwa mahawara na maswahiba kama njugu. watu wengine hawajawahi ku practice sheria eti wanapewa u judge! this can only happen in TZ and specifically under JK !!
 
Na mmoja wa partners wa IMMMA JK kampa u Judge!
Ndio tunataka tubadilishe katiba, majudge wawe confirmed na Bunge .... sio kugawa u judge kwa mahawara na maswahiba kama njugu. watu wengine hawajawahi ku practice sheria eti wanapewa u judge! this can only happen in TZ and specifically under JK !!

Aah lakini mara hii hakuwepo hata ktk preliminary list ya mawaziri wa jk, because he was ze lowest performer katika mawaziri, ameshindwa kumaintain "confidentiality" ya serkali kutokana na ujana kumzidia-aponee kagasheki na mwema, na polisi wengi kuwa "graduate" siku hizi-aisee hafai kabsaaa jamaaaa huyu
 
To me I think the issue siyo Masha, lakini kuikosa Mwanza na kuchukuliwa na wapinzani. Mwanza ni moja kati ya ngome kubwa ya utawala.
Mwanza ina represent kanda ya ziwa, sasa kama kanda ya ziwa imetekwa wewe rais uliye madarakani au chama inabidi muwe waangalifu. Kwa sababu hii blow ya mwaka huu kama ikiendelezwa mwaka 2015 ndio itakuwa mwanzo wa kuiondoa CCM madarakani. The wind of change has started in Mwanza and it may cross over to Mara, Kagera and Shinyanga. Soon we can see lake zone seceding.

Mkuu Kaka Mdogo,
Hiyo hapo umemaliza.
Mbeya (very important) imeenda
Arusha, Moshi , other very important strategic areas gone
Now Ubungo......
Sasa huoni kwamba wapinzani wamechukua all important admin areas? has this something to do with despising workers and middle class people? Sasa kama Iringa mjini, Lindi mjini, Mbeya mjini, Mwanza mjini, Arusha mjini , Dar Center zimeenda upinzani , wewe rais unaongoza wapi vijijini? Kule kwenye asilimia 70 ( ile ya wasiosoma magazeti) ? Sasa nao wakipata mwanga wa hizi habari nini hatima ya CCM come 2014 (Serikari za mitaa) and then 2015 , another annual general election?
Hapo ndipo raisi yeyote angejaribu kwa udi na uvumba kurejesha majimbo hayo, japo kwa nchi za wenzetu si kwa kuiba kura au kununua wagombe, bali kwa kufanya kazi nzuri zaidi ili next election watu wakuamini..
Bahati mbaya sana kwa staili ya JK aliyoionyesha kule Nyanda za juu , anaweza kabisa kujaribu kuwatishaia watu wa huko ama kwa kuwanyima maendeleo au kw siasa za maji taka....
Yangu macho....
 
nimeshindwa kupata jibu, naomba wana jf mnisaidie ni kwa nini mheshimiwa jk alitaka masha ashinde ubunge? Nguvu na ushawishi aliyotumia mheshimiwa jk kumnusuru masha ni kubwa sana, nadhani amekuwa favoured ktk kumnadi masha kuliko wagombea wote wa ccm.
nikutokana na dili la vitambulisho vya taifa, hiyo ni epa ingine.
 
Ivi kama JK akampa Masha ubunge wa kuteliwa halafu akampa Uwaziri si itawezekana kutimiza matakwa ya JK ya Masha kuwa Waziri? Nisaidieni hapo jamani
 
Ni kweli mdau habari za ndani kabisa zinasema hivyo, na ukiona jimbo ambalo upinzani wameshinda linacheleweshwa, jua hao wajingawajinga wanamuogopa JK lakini once akiambiwa-haya ndiyo maneno yake "mpeni! mpeni! bana, hiyo ndiyo demokrasia" nadhani anaogopa big riot isitokee katika session yake-Shortly, jamaa kakomaa ktk demokrasia ya vyama vingi tofauti na mtangulizi wake ambaye alikuwa mbabe sana akishirikiana na mahita wake. Tumpe viva kwa hili angalau!


Mtangulizi wake alitokea chama gani vile?
 
Ivi kama JK akampa Masha ubunge wa kuteliwa halafu akampa Uwaziri si itawezekana kutimiza matakwa ya JK ya Masha kuwa Waziri? Nisaidieni hapo jamani

Kama anataka kukizika chama na afanye hivyo! Kama wanajimbo tu wameona hawezi kuwaongoza, then atateuliwaje ili awe Waziri anayeongoza nchi nzima!
 
Acheni uzandiki. Kikwete hahusiki na uhuni unaofanyika majimboni. Sanasana yeye ndiye imembidi aingilie kati katika baadhi ya majimbo kuwashinikiza wahuni wa huko koutangaza matokeo ya halali na kuwaonya kuwa hatambeba yeyote atakayechakachua.
mfano plizi!!!!!!
 
Kwani wewe ndie msemaji wake? Mbona unakuwa mmbeya hivyo?

KWa hiyo kwako wewe ni vema mkaendelea na uzandiki na upotoshaji na asije mtu akawarekebisha....

Namjua Masha na pia naheshimiana naye lakini hili la VITAMBULISHO mnamuonea Kikwete...........Just jikumbusheni alichokisema katika mahojiano ya Ijumaa pale Arnatoglu kuhusu "maslahi binafsi" katika huu mradi na mchimbe mjue undani wa suala hili na sio kukimbilia assumptions tu.....no wonder wengine mnakimbilia kukumbatia visivyokumbatiwa mkidhani hamdanganyiki......
 
Mkuu Kaka Mdogo,
Hiyo hapo umemaliza.
Mbeya (very important) imeenda
Arusha, Moshi , other very important strategic areas gone
Now Ubungo......
Sasa huoni kwamba wapinzani wamechukua all important admin areas? has this something to do with despising workers and middle class people? Sasa kama Iringa mjini, Lindi mjini, Mbeya mjini, Mwanza mjini, Arusha mjini , Dar Center zimeenda upinzani , wewe rais unaongoza wapi vijijini? Kule kwenye asilimia 70 ( ile ya wasiosoma magazeti) ? Sasa nao wakipata mwanga wa hizi habari nini hatima ya CCM come 2014 (Serikari za mitaa) and then 2015 , another annual general election? Hapo ndipo raisi yeyote angejaribu kwa udi na uvumba kurejesha majimbo hayo, japo kwa nchi za wenzetu si kwa kuiba kura au kununua wagombe, bali kwa kufanya kazi nzuri zaidi ili next election watu wakuamini..

Angalao wewe umethubutu kufungua kichwa na kufikiri beyond UKOMBOZI BOX..

Lakini hii ya chini ni assumptions zingine....Hivi ni wapi ambao wamechagua mbunge wa Upinzani na wakatengwa katika masuala ya maendeleo katika miaka mitano iliyopita? Unajua ni majimbo mangapi ya wapinzania ambayo yamefaidika na miradi ya maendeleo kiasi cha kufanya wabunge wa CCM kulalama? Unajua ni majimbo mangapi ya CCM ambayo Kikwete aliwaambia wananchi wachague watakavyo bila ya kusisitiza kupigiwa kura kwa mgombea wa CCM?

Bahati mbaya sana kwa staili ya JK aliyoionyesha kule Nyanda za juu , anaweza kabisa kujaribu kuwatishaia watu wa huko ama kwa kuwanyima maendeleo au kw siasa za maji taka........
 
Aah lakini mara hii hakuwepo hata ktk preliminary list ya mawaziri wa jk, because he was ze lowest performer katika mawaziri, ameshindwa kumaintain "confidentiality" ya serkali kutokana na ujana kumzidia-aponee kagasheki na mwema, na polisi wengi kuwa "graduate" siku hizi-aisee hafai kabsaaa jamaaaa huyu

Nani aliyekundanganya JK anaangalia performance?
 
Nimeshindwa kupata jibu, naomba wana JF mnisaidie ni kwa nini mheshimiwa JK alitaka Masha ashinde ubunge? Nguvu na ushawishi aliyotumia mheshimiwa JK kumnusuru Masha ni kubwa sana, nadhani amekuwa favoured ktk kumnadi Masha kuliko wagombea wote wa CCM.

riz-1 kalia sana bosi ake arudi so baba ana mapenzi na mtoto ndo akaaka amsaidie mtoto asiendelee kulia.
 
Nasikia JK alienda Mwanza kabla matokeo hayajatoka...alienda kufanya nini?
Kama kweli alienda basi hapo kuna jambo coz ktk hali ya kawaida hata mbumbumbu kama mimi nitajiuliza WHY???
 
Mara hii umeshasahau DEEP GREEN?
Mbona kazi sasa ndo inaanza, hayo huko nyuma yalikuwa ni maandalizi ya jinsi ya kuanza kazi na tumeona matunda yake ya kuvuna viti kibao vya ubunge na udiwani. Sasa kazi hii ikianza rasmi tutavuna nini? Naamini jibu unalo.

Mbunge yeyote wa CCM kama hatakuwa responsible kwa wananchi ni kichapo tu, sasa hivi sidhani wako tayari ku-risk hasira za wananchi. watanzania wanataka maendeleo na si porojo za sijui Kamati Kuu ya CCM or Makamba sijui kajamba.

Hii speed ni hadi kieleweke, uchaguzi utamalizika na kazi iliyoanzishwa na Slaa na wapiganaji wengine inaendelea.
 
KWa hiyo kwako wewe ni vema mkaendelea na uzandiki na upotoshaji na asije mtu akawarekebisha....

Namjua Masha na pia naheshimiana naye lakini hili la VITAMBULISHO mnamuonea Kikwete...........Just jikumbusheni alichokisema katika mahojiano ya Ijumaa pale Arnatoglu kuhusu "maslahi binafsi" katika huu mradi na mchimbe mjue undani wa suala hili na sio kukimbilia assumptions tu.....no wonder wengine mnakimbilia kukumbatia visivyokumbatiwa mkidhani hamdanganyiki......
Wewe unaongea nini??
JK akiwa kama Rais amechukuwa hatua gani kutokana na hizo kashfa za Masha pamoja na wizara yake ya mambo ya ndani.
Usitufanye wapumbavu bwana!!!!
 
yani bado hujui?...si wanafanya biashara haramu pamoja "human trafficking..did i said drugs?...ohhh not drugs bana biashara haramu ya kusafirisha na kuwa-tanzaniisha wageni hasa wasomali..yap muulize masha kwanini huwa hawarudishi makwao wasomali...yesss..si waziri wa mambo ya ndani mwenye dhamana ya uhamiaji pia" ..pia jk domo zege so masha huwa anampigia mapande ya milupo hasa kila mara anapokuwa ameenda states ...ahahahaha...

maswahiba hawa banaaaa...ohhh pia nimesahau..si unajua masha huwa anamlipia karo mtoto wa jk anaitwa riz-1 kila anapoenda kusoma nje ya nchi...ahahaha... ohhh pia nimesahau "masha sindio kamuajiri mtoto wa jk hapo IMMMA...ndio dogo wa jk ni lawyer "mkusanya-vyeti" na asiye-practise....

YES I SAID IT kwani lini alishabeba hata file la kesi yoyote toka amalize college na kuliingiza hata kwa karani wa mahakama...ohhh sikuizi dogo anataka kuvaa viatu vya mzee wake..ahahahaah...like father like son...ndio mbona THE KENEDY family wapo hivyo...why not the JK family hapa kwetu
hahahahah nilikuwa sijacheka tangu jana kaka.
 
Back
Top Bottom