Tujitahidi tusiwe single mpaka uzeeni

Hatimaye wembe umeangusha mbuyu, hebu ongeza sauti kidogo mbarika asikie ye mwenyewe umeona bado karudi pale pale kaanza na kutudolishia mwanamke aliyembariki kuliko wote duniani

Sie ni sehemu ya mbavu zenu mtuvumilie
 
Nyuma ya maujinga ya mwanamke yupo mwanaume, na nyuma ya mfanikio ya mwanaume yupo mwanamke.

Na wote tuseme Ameeeeen!
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Lizarazu kila siku anasema wanawake tunahitaji kuongozwa, ila cha ajabu wakituongoza kwenye mauzauza anakimbia responsibility[emoji134][emoji134]

Lizarazu ukuje hapa ujifunze na wala usishupaze shingo.

NB ukiniandikia gazeti unakula makofi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mfano inatokea mwanamke kachepuka huko mimi naanzaje kuwa responsible?

Jamaa katiririka vingi sana, acha tu nisiseme jambo, maana naogopa makofi[emoji112][emoji112]
 
Midlife crisis victim....😀😀😀
 
Ujue sisi ni ngumu sanaaaaa kuchepuka, sie wavumilivu acha kabisa. Ukiona tumechepuka basi mume anachangia kwa 98% na 2% shetani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mfano inatokea mwanamke kachepuka huko mimi naanzaje kuwa responsible?

Jamaa katiririka vingi sana, acha tu nisiseme jambo, maana naogopa makofi[emoji112][emoji112]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…