Hahahaha mbele tembea nyuma geuka mkiudhiwa sasa unatuma sms leo inajibiwa keshokutwa....ujitie ke unampanda kichwani sasa uje uone utafurahia show km hujabaki single milele
Nyie watu hapana sema ndo hivyo mko watamu kiaina
Kwel mkuu Unakwama wap tukusaidie mzee baba??Nimecheka sanaa mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti niache fix
No ligi here!!!
Jamaa ana fix Sana halafu na Nyie mmeingia kingi sasa
Ngoja nione nani anaenda kuliwa
Hahaha..!!Hakuna wanawake wazuri wa kuoa kama single mother.....
Ok OKNgoja niwaweke kwenye maombi
ha ha ha ha haHahaha..!!
Man your hunting game is unmatched to anybody else.
Hahaha..!! Kimahusiano Sisi ni watamu mno sio kiana tu.
Sisi hata ubabe wetu uko romantic kiana
Halafu ukionja taste yetu hutatamani tena kurudi kwa wanaume aina ya mleta mada. kapeace [emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Mbarika igilizia mbinu sio unakaza tu muda wote huoni leo lizarazu alivyochangamka kumbe anatupendaga basi tu ndo vile ukauzuKwel mkuu Unakwama wap tukusaidie mzee baba??
Usizunguke mbuyu dem mwenyewe kakuelewa Sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Single mother ni wazuri sana. Na ninacho wapendea ni maturity yao, huwezi kuta wana mambo ya kijinga kijinga. Japo sio kwa wote... ila wengi wao huwa wapo vizuri kuanzia malezi ya watoto , familia etc... wanao waponda single mother ni utoto tu, wakikuwa wataachaa [emoji41][emoji41][emoji41]
Umeongea points za hisia kwa niaba ya ke wenzako ila jitahidi ukimpata wa kuendana nawe mvumilie, usifike utu uzima zaidi ukiwa single.Tunawavumilia mkiwa chini na hizi flat zetu mkizipata mnataka chura wa kunesa nesa, bora kubaki single
Acha kuuvuruga tactics za watu mzee baba[emoji57][emoji57]No ligi here!!!
Jamaa ana fix Sana halafu na Nyie mmeingia kingi sasa
Ngoja nione nani anaenda kuliwa
No Sina wivu coz namke wangu humu siwez tongoza mwingine
Sijaumia mzee mamaMbona kama unaumia sana wakati mi sijaona alipokosea?
Hahaha!! Basi kausha mzee babaKwel mkuu Unakwama wap tukusaidie mzee baba??
Usizunguke mbuyu dem mwenyewe kakuelewa Sana
ha ha ha ha ha
Umeongea points za hisia kwa niaba ya ke wenzako ila jitahidi ukimpata wa kuendana nawe mvumilie, usifike utu uzima zaidi ukiwa single.
Au ukipenda kuingia utu uzima ukiwa pekee, u- struggle uwe na uchumi mzuri kiasi.
Dada cjakosa mbinu aiseMbarika igilizia mbinu sio unakaza tu muda wote huoni leo lizarazu alivyochangamka kumbe anatupendaga basi tu ndo vile ukauzu
Sawa mkuuAcha kuuvuruga tactics za watu mzee baba[emoji57][emoji57]
Mbarika anaonekana ana mbinu kama za mgambo, anajikuta hardcore!Mbarika igilizia mbinu sio unakaza tu muda wote huoni leo lizarazu alivyochangamka kumbe anatupendaga basi tu ndo vile ukauzu
Sawa mzee baba[emoji41][emoji41][emoji41].... Single mother, msiwachukulie powa... utakuja waelewa badae..