habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,753
- Thread starter
- #21
hahahaha ..malizia tu ..`mpya` otherwise nitafikiri `jana`
niliona hakuna ulazima wa kumalizia asante natumai una afya njema
hahahaha ..malizia tu ..`mpya` otherwise nitafikiri `jana`
huna ndugu? rafiki? hata jirani zako watakiwa uwapende
niliona hakuna ulazima wa kumalizia asante natumai una afya njema
Ngoja nikutumie voucher uamini kuwa nakupenda na nimekusamehe japo uliniacha kwa visa........ukiipata nijulishe please
Thanks.. Mimi mzima.. By the way, usinifikirie vibaya ila naamini kabisa hakuna upendo wa kweli zaidi wa ule kati ya 'Mama na Mtoto' full stop. Hapa sijamweka hata baba ingawa mimi ni mwanaume.
Upendo mwingine upo kwa ajili ya maisha yetu.. Yoote uliyosema ni sahihi..lakini hata upendo kati ya mume na mke hauna hadhi ya kuitwa 'True' hata kama watasign kwa kutumia damu .. kwani iko siku watabadilika..lakini upendo kati ya mama na mtoto ni 'immortal' yaani ni wa milele..usione mama yako amekuchukia utadhani hata moyo wake umechukia..la hasha..lakini mume au mke akikuchukia ni balaa..
sasa utaelewa nilimaanisha nini post yangu ya kwanza..
MBona haijafika hadi saa hii
ayayayayayaaaaa washaanza wizi wao tena!! yaani wanaiba hadi voucher ya laki tu? ngoja niwapigie kastamakea my Dear
mwenye upendo hadanganyi, mwenye upendo hajivuni mkuu
hapo umetisha
ayayayayaaaa mwenye upendo ni kama mimi Mpwa hahahahahaaaaaa, hii thread balaaa aiseeee
Mkuu shikamooo, na tumai uko poa
through all and in all, the greatest is love
Love meter...
Hujambo?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums