Tujikumbushie One hit wonders wa Bongo

Tujikumbushie One hit wonders wa Bongo

1.JOHN MJEMA - Wachumba 30
2.FATHER G - Binti Mlokole
3.SOGY DOG - Kibanda cha Simu
4.BESTA feat DULLY - Kama ulivyo
5.BABLEE - Kizizi
6.PLANET 2000 - Bab Kubwa
7.UNIVERSITY CORNER (U.V.C) - T-shirt na Jeans
8.JOHN WALKER & RAS LION - Bitozi
9.MAD ICE - Baby Girl
10.MAC DIZZO - Sugar Mamy

Vipi,niendelee au inatosha?
Unaelewa kinachozungumzwa au unadandia tu? Soggy Doggy na Mad Ice ni one hit wonders?
 
Mkuu soma kwanza uzi unahusu nini sugu ana ngoma nyingi tu zilizohit kwa kipindi hicho.

Pia umechanganya mambo J,I kidato kimoja imetoka mwaka 2006 wakati nyimbo ya Top c- lofa imetoka 2011 kipindi cha sharobaro records ya bob junior, msimu ambao sharo millionea alikuwa anamla shilole
Yani wabongo wagumu kuelewa
 
6.PLANET 2000 - Bab Kubwa
1782141906886.png
 
Waswahili - Pengo...

Kila leo nafikiriaaaa, sana, Pengo gani liliacha historia... Sanaaa
We mzee noma..

Huyo jamaa Huwa namwitaga Kuna ka PuB

Na gita lake tuna Anza piga ngoma live Huku tunakula gambe

Ukisikiliza hii NGOMA jamaa walikua mbele ya mudaa sio sirii
 
Aisee kama unayo tupia...nikiitafuta mtandaoni ni KERO, links ni nyingi sana mpk inashindwa ku-download
Iangalie YouTube

Waswahili pengo

Jamaa walikua mbele ya muda. Huyo jamaa wa verse ya pili ni mshikaji sana.

Kuna maeneo mwaka huu huu tumebang sana Huwa ana gita lake Huwa tunaweza kaa anapiga Gita sisi na washikaji tunapiga Tungi Huku tuna enjoy live band yetu

Fanya isikilize ngoma hiyo sawa
 
Asante sana. Mangustino amenogesha sana ktk huo wimbo
 
Iangalie YouTube

Waswahili pengo

Jamaa walikua mbele ya muda. Huyo jamaa wa verse ya pili ni mshikaji sana.

Kuna maeneo mwaka huu huu tumebang sana Huwa ana gita lake Huwa tunaweza kaa anapiga Gita sisi na washikaji tunapiga Tungi Huku tuna enjoy live band yetu

Fanya isikilize ngoma hiyo sawa
We jamaa ni mtu wa msasani/mikocheni?
 
Back
Top Bottom