secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,554
- 49,968
Kwa hiyo ulikuwa unajitambua tayari, siyo?Nakumbuka kipindi hicho 2001 ndio mama ananizaa, ilikuwa usiku tena alikuwa peke yake nyumbani,ndani ya nyumba ya makuti ikiwa imemulikwa na mwanga hafifu wa kibatari,akashikwa na uchungu,akajiegamiza kwenye nguzo akanizaa na akakata kondo peke yake,mzee alikuta tu mwamba Jaga Kaya Ogihonge analia. Nilifurahi sana siku hiyo ya kuzaliwa
Kumbe wewe muhenga ?Usinikumbushe enzi ze ambapo ukimwi ulikuwa kwenye kilele chake. Nakumbuka nilifungua duka kubwa la kondom kwa kuamini kuwa wateje watakuwa wengi lakini niliambula hasara.
Enzi hizo bado sinaanza kumgonga bibie Mnachihanguuu .
Bold and beautiful, Family matters, Perfect strangers,Fresh prince & bell air,Tausi uliangalia mwaka gani?Kipindi Bora kabisa dunia imewahi kupitia ni 2000s hadi 2010
Filamu
Jumba la dhahabu ya Tuesday Kihangala
Shumileta na Nsyuka ya Musa Banzi na Sultan Tamba
Johari njia panda ya ray na kanumba
Misukosuko ya J bras na Seba
Muziki
1. Juma nature na hakuna kulala, ugali, mugambo wanaruka na kukanyagana
3. Temba na chege na Tmk wanaume family na Dar mpaka Moto
4. Mb Dogg na sagabrasha, latifa
5. Z anto na bint kiziwi na mpenzi jini
6. Ferooz na profess J state he
7. Mandojo na domokaya bila kusahai sog dogg
TV NA RADIO
1. Chemsha bongo ya redio one stereo
2. Mizengwe ya ITV
3. Nani zaidi ya redio one
4. Kwetu fleva ya DJ majizo ya magic FM
5. Mchezo ya Mzee jangala radio Tanzania
6. Matangazo ya chai Jaba na fataki na funda moja la ziada litakuumbua
7. Channeli ya C2C mtu kwao ilikuwa inapiga muziki balaa
8. Redio free afrika na kipindi cha sitasahau na je huu ni uungwa cha fredwaa
Kulikuwa ni kipindi cha dhahabu kwa kweli haitakaa itokee, sasa hv ni kama vile kila kitu kimepoteza mvuto
Enzi hizo kitu kimoja kinafuatiliwa na Taifa zimaKipindi Bora kabisa dunia imewahi kupitia ni 2000s hadi 2010
Filamu
Jumba la dhahabu ya Tuesday Kihangala
Shumileta na Nsyuka ya Musa Banzi na Sultan Tamba
Johari njia panda ya ray na kanumba
Misukosuko ya J bras na Seba
Muziki
1. Juma nature na hakuna kulala, ugali, mugambo wanaruka na kukanyagana
3. Temba na chege na Tmk wanaume family na Dar mpaka Moto
4. Mb Dogg na sagabrasha, latifa
5. Z anto na bint kiziwi na mpenzi jini
6. Ferooz na profess J state he
7. Mandojo na domokaya bila kusahai sog dogg
TV NA RADIO
1. Chemsha bongo ya redio one stereo
2. Mizengwe ya ITV
3. Nani zaidi ya redio one
4. Kwetu fleva ya DJ majizo ya magic FM
5. Mchezo ya Mzee jangala radio Tanzania
6. Matangazo ya chai Jaba na fataki na funda moja la ziada litakuumbua
7. Channeli ya C2C mtu kwao ilikuwa inapiga muziki balaa
8. Redio free afrika na kipindi cha sitasahau na je huu ni uungwa cha fredwaa
Kulikuwa ni kipindi cha dhahabu kwa kweli haitakaa itokee, sasa hv ni kama vile kila kitu kimepoteza mvuto
Tukio la wahuni wa maccabi haifa kukutoa utepe lilinisikitisha sanaHii ndio miaka millenials wapo primary and secondary huku bado wadogo zao gen z wapo kwenye mifuko na mayaiπ€£
Miaka hio tunsulzana mbna isidingo Haiishi maana tangu late 90s watu wanaangaliaπ¬
Miaka 2000 ndio ilikuwa golden age ya burudani na media katika nchi hii
Between 2000 hadi 2009 taifa lilikuwa limeshatengeneza watu ambao leo ni legends katika taifa hili.
Maigizo/mchezo ya kaole ndani ya ITV, pale ndipo tulipomtambua kanumba na ray, hadi wao kuanza safari ya filamu. Ile filamu ya girlfriend ya wakina TID ilishika kasi sanaπ
Nakumbuka kanda za albamu za wasanii zilimiminika katika nyumba za watu, mimi binafsi nakumbuka albamu ya wachuja nafaka, ile nyambizi ya dully sykes, maisha na muziki ya mr 2, etc zilikuwa pale home.
Miaka 2000 star wa mpila alikuwa juma kaseja, huku mastaa wengine wakiwa wakina sunta, huyu dada ambae alitaka kula hela za mengi zoteπ,
Miaka 2000 ilikuw na original comedians, wakina kibakuliπ€£, bambo, pembe, joti na mpoki pamoja wakifanya vitukoπ
Miaka ya 2000 yalitokea matangazo ya TV maarufu, kama chai jaba, lile tangazo la wasanii kuimba usione soo sema nae nafikiri kampeni ya ugonjwa wa ukimwi, alafu matangazl ya condom yalikuwa mengi sanaa maana ukimwi ulikuwa mkali π€£
Miaka ya 2000 ujambazi hatarii, kuna tukio moja la kuvamia benk hata itv walionesha tena kwa kuiba kuiba marisadi yanapiga (taarifa ya habari)
View attachment 3536714
View attachment 3536715
View attachment 3536717
Ndiyo mkuu, Mimi nina kijana wangu kabisa humu. Anaitwa Monetary doctor.Kumbe wewe muhenga ?
Mimi miaka hiyo bado naogeshwa
π―π―π―π―Kipindi Bora kabisa dunia imewahi kupitia ni 2000s hadi 2010
Filamu
Jumba la dhahabu ya Tuesday Kihangala
Shumileta na Nsyuka ya Musa Banzi na Sultan Tamba
Johari njia panda ya ray na kanumba
Misukosuko ya J bras na Seba
Muziki
1. Juma nature na hakuna kulala, ugali, mugambo wanaruka na kukanyagana
3. Temba na chege na Tmk wanaume family na Dar mpaka Moto
4. Mb Dogg na sagabrasha, latifa
5. Z anto na bint kiziwi na mpenzi jini
6. Ferooz na profess J state he
7. Mandojo na domokaya bila kusahai sog dogg
TV NA RADIO
1. Chemsha bongo ya redio one stereo
2. Mizengwe ya ITV
3. Nani zaidi ya redio one
4. Kwetu fleva ya DJ majizo ya magic FM
5. Mchezo ya Mzee jangala radio Tanzania
6. Matangazo ya chai Jaba na fataki na funda moja la ziada litakuumbua
7. Channeli ya C2C mtu kwao ilikuwa inapiga muziki balaa
8. Redio free afrika na kipindi cha sitasahau na je huu ni uungwa cha fredwaa
Kulikuwa ni kipindi cha dhahabu kwa kweli haitakaa itokee, sasa hv ni kama vile kila kitu kimepoteza mvuto
Sasa hivi amebaki mifupa !Kipindi hicho rayc wanamuita kiuno bila mfupaπ€£
Hatariiii...Ila like tangazo la ukimwi like! Mpaka leo hii linanirudia kichwani.
Ule wimbo ilikua na wasanii walio Tunga na kuimba vizuri.
Usione soo sema nae kuhusu kusubiri ama kutumia kondom.
Wapi CTN,CEN,DTV?Bold and beautiful, Family matters, Perfect strangers,Fresh prince & bell air,Tausi uliangalia mwaka gani?
Nakumbuka kipindi cha tamasha la michezo ITV siku ya jumapili. Alikuepo mwamba Patrick Nyambela na captain Michael Malue, nilikua sikosi kuangalia hichi kipindi.Bold and beautiful, Family matters, Perfect strangers,Fresh prince & bell air,Tausi uliangalia mwaka gani?
Kina Mponda,Mjuba, Asina Kibibi,Mzee Kasri,Rehema,Rukia.Duh tausi ππππ
Hivi wale walikuwa wazanzibari
Tulitishana kipindi kile daah, tarehe sijui zimefanyaje 1999, mara Mei afu kina Shingongo na vigazeti vyao vya Dar-.leo, Alasir, Ijumaa, Uwazi walichagiza sana kwenye vitisho.Waliozaliwa '95 kuna hivi walizaliwa nyakati ambazo ukimwi ulikuwa tishio sana. Wengine walizaliwa nao na baadhi nadhani kwa sababu dawa hazikuwa kwa wingi walifariki mapema tu.
Tulibahatika kushuhudia Y2K, kwamba 2000 inaweza kuwa mwisho wa dunia.