Tujikumbushe

Ila unakumbuka Walii alikuwa mwerevu sana,alimshauri Bakari ila Bakari akapuuza,pia Walii ndo aliyesababisha mfalme anyongwe
hivi watoto wetu bado wanasoma vitabu hivi huko mashuleni? au ndo kidhungu 100%
 
naweza kupata wapi hivyo vitabu? nataka kujinunulia nijikumbushe
mi mwenyewe sijui ila nadhani kwenye maktaba vipo vinauzwa....ila na mimi na mpango,napenda sana kurudi kusoma Mfalme Juha
 
Hivi vitabu viliingizwa mi nikiwa chuo kikuu tayari
Hivo sijawahi visoma... what are their stories?
ha haaaaaaaaaaa, Mwali bwana, una mkwala! subiri Excellent akumwagie mastori behind
 
Hivi vitabu viliingizwa mi nikiwa chuo kikuu tayari
Hivo sijawahi visoma... what are their stories?
Mwali vyote vinafurahisha ila hiyo tamthiliya ya Mfalme Juha inachekesha sana,itafute utaenjoy sana unaposoma
 
yeah, ni vizuri kusoma muda huu na nadhani kitapanda zaidi maana sitasomea kujibu mtihani

hiyo KUSADIKIKA pia ni nzuri ila imetumia sana lugha ya uficho
 
Hivi vitabu viliingizwa mi nikiwa chuo kikuu tayari
Hivo sijawahi visoma... what are their stories?

Mwali acha uvivu kavitafute vipo mduka ya vitabu kavisome....................ni vizuri.....................mie kitabu nilchokipenda kulikoni vyote ni cha siri ya sifuri by Mahammed Said Abdullah...............looks like a Sherlock Holmes counterfeit..............but I still enjoy it more than Kisima cha Giningi, Duniani kuna watu, by the same author among others................
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…