Nyambari Nyangwine alitangazwa kabla ya matokeo yote dhid ya Mwita Waitara huko Tarime
Mkuu Kiswahili ni Lugha ngumu sana. Watanzania wengi hawaielewi hasa katika kuandika. Pia kuna lafudhi ambazo zinatuathiri katika matamshi na maandishi ya kiswahili. Wachaga wengi hawawezi kutamka neno nchi lazima atatamka nji! Mhaya hawezi kutamka neno ng'ambo yeye atakuambia ngambo! Mbondei atakutamkia kupunzika badala ya kupumzika. Mkurya hana kitu kinachoitwa la yeye kulala atakutamkia/kuandikia kurara.
Mkuu ndiyo lugha yetu hiyo pamoja na lafudhi zetu. Wengine pia unakuta wako nje ya Tanzania muda mrefu hivyo hata matamshi yanakuwa tabu. Unajua tena raha ya lugha uinene kwa ngeri, vijazi na visifa.
Muongo mkubwa wewe!!!!JOSEPH SELASINI wa Rombo
umedanganya jamviJOSEPH SELASINI wa Rombo
weee sema astaqafirulahGodbless Lema wa arusha Mjini, Alitumia kauli zenye chuki za kidini na kibaguzi kuwalobby mbumbumbu
Peter selukamba - Kigoma mjini,Kilaza Mkeketa - Kilombero
weee sema astaqafirulah