hiki ndio kitabu bora Tanzania Hakijapata Kutokea Mpaka Leo ``HOFU`` kimeandikwa na A.E.MUSIBA muhusika mkuu katika kitabu hiki anaitwa WILLY GAMBA,kilichapishwa 1988 ni kizuri sana kwa wale wanaokijua na kama hauna naweza kukupa ukitoe copy ukakisome maana hakipatikaniki

Mambo ya ajabu yaliyompata Allan Quterman na wenzake,,kuiendea nchi ya watu weupe.Bonge la kitabu japo kwa kiwango fulani kinamdhalilisha mwafrika
Dah umenikumbusha malikia Saraos na Nyleptha, msolopagazi wazuvendi. Sasa watoto ni magame tu

Naomba kama unacho cha HOFU cha jembe willy gamba naomba ndg nicheki kwa 0712905393 hii namba plz
NJAMA, HOFU, KUFA NA KUPONA! vya Musiba, muhusika mkuu Willy Gamba, Njama na bint Veronica Amadu yule binti wa Tanga au miss Tanzania. Yaani mmh!?