StaffordKibona
JF-Expert Member
- Apr 21, 2008
- 669
- 57
alfu lela ulela elfu mia na moja
amina anakula wali kwa sindano
man umenirudisha,bali sana
Msisahau kitabu cha safari za Allan Quterman akina Msolopagazi,kibibi Gagula,wajivuni,n.k :A S 39:
Kwenye kitabu cha Mfalme Juha (Farouk M. Topan), hakuna simulizi ya wagagagigikoko, wagagagigi koko ni masimulizi ya kwenye kitabu kinacho itwa Someni Kwa Furaha a.k.a Someni Bila Shida. Na ni katika zile safari za Bulicheka, ambaye aliandamana na mkewe Lizabethi.mfalme juha..... na wagagagigikoko....
Kwenye kitabu cha Mfalme Juha (Farouk M. Topan), hakuna simulizi ya wagagagigikoko, wagagagigi koko ni masimulizi ya kwenye kitabu kinacho itwa Someni Kwa Furaha a.k.a Someni Bila Shida. Na ni katika zile safari za Bulicheka, ambaye aliandamana na mkewe Lizabethi.
Kwenye kitabu cha Mfalme Juha (Farouk M. Topan), hakuna simulizi ya wagagagigikoko, wagagagigi koko ni masimulizi ya kwenye kitabu kinacho itwa Someni Kwa Furaha a.k.a Someni Bila Shida. Na ni katika zile safari za Bulicheka, ambaye aliandamana na mkewe Lizabethi.
Kwa bahati nilianza kujisomea vijitabu, kabla sijaanza chekechea... na nilipikuwa shule ya msingi nilikabidhiwa madaraka ya kutunza library ya shule, hapo sasa ndipo vitabu vilinikoma. (Karibia ya robo ya vitabu vya hadith viliamia nyumbani).Da! kaka umesababisha nimekumbuka mbaali sana.
Kumbe sio mambo ya dini tu bali hata huku upo deep sana.
Chukua senx hiyo.
Sawa mkuu, yote ni katika kunogesha mjadala, wakati mwingi huwa tunaelewa sivyo na mwandishi alivyo kusudia.sikumaanisha kuwa wagagagigikoko wako kwa mfalme juha.. nilikuwa nimemaanisha vitabu viwili tofauti..
Play station na nintendo!hata sielewi vimeedna wapi ivi vitabu
how i wish nivipate tena!!
sasa ivi sijui watoto wanasoma madude gani yalabi
duh...hivi vitabu bwana usipime....wakati huo kipindi cha mama na mwana kilikuwa kinasimulia hadithi zake zikirushwa na RTD, mida ya saa nane, nakumbuka hadhithi chache kama ua jekundu, binti chura, akajasembamba, kina bibi aga, na kuna kitabu kingine kilikuwa kinaitwa 'adili na nduguze' mambo ya mji wa mawe n.k.....kweli watoto wa siku hizi hawafaidi kabisa
safari za gulva (sijui kama nipo sahihi na jina) yule jamaa dr. wa kwenye meli alienda nchi yenye vijitu vifupi vya saiz ya nchi 6 tu, halafu badae akakutana na kisa kingine cha kwenda kwenye nchi yenye mijitu mirefu km minazi.
vingine ni kama TAFRIJA YA DAMU, SIMU YA KIFO, MPENZI JUZUU YA 1 na 2,