Tujikumbushe siasa kidogo.

Tujikumbushe siasa kidogo.

Kufanya siasa za upinzani nchi za kiafirika inatakiwa uwe na roho ngumu mno, ukitoka kwenda kwenye shughuli zako asubuhi huko nyumbani kwako hawajui kama utarudi salama, whole day wana wasiwasi - yaani ni sawa na dereva wa bodadoba akirudi salama nyumbani mnashukuru Mungu.
 
Hilo jiwe la Mwenye baraghashia lingempata mpaka leo angekuwa MOI.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom