Tujikumbushe Nyimbo kali za Bongo Fleva Zilizotamba zamani

Saleh jabri - ice ice baby!anasema "naona unanifuata kwa kujamping,huku wenzio wabakupumping,sikutaki sikupendi kwa kuwa wewe ni feki,huna sura nzuri wala huna back,nipo kwenye gari na rafiki yangu sele,kwenye 504 nasikia naitwa na mwanamke mweusi ana macho kama pusi!yoyo

Woyoooo mkuu umetisheeerrr nimejikuta naflow km mwenyewe vile
 
Zote ulizotaja ni new school bado sijaona old xul kwenye sredi,unazijua hizi?
1.Oya msela oya?
2.Uniques sisters-Boy is mine
3.Sos B-Kukuru kakara zako wewe
4.Sharp Shooters-Ubandidu
5.Hasheem-In the shadow
6.Afro Reign-Saa za kazi
Aire mchuma umetoka msela naondoka naingia mitini
 
T-shirt na jeans-
Bush party-
Kibanda cha simu-
Chocho choko-weusi wagumu asilia-
Zeze-
Ebu nicheki ninavyong'ara-
Leo-
Etc
 
Jinsi kijana anavyobadili tabiaaaa inavyoonekana amesahau mila ya mtanzania.tabia za kishenzi shenzi toka uswahilini umezidi..unasugulia viatu brashi ya kuoshea vyombo
Umetoka huko nje una michanga rundo.prukuti ndani mgumu km nyundo misoksi hujaifua inanuka uvundoo..ana mademu si chini ya kumi si shemeji yetu hatujui yupi.si tunakichofanya rafiki zake kumkanyaa akigonga hodi mwenzie akichekelewa kufungua kanya kayajaza nabaki mdomo gaga katu nsijue cha kufanyaaa...aah nature wee si urudie enzi zako zile ngoma mtu unaifeel mpaka moyoni

Sio nyimbo zenu za siku hizi sijui nataka kulewa ahhhaaa hamna kitu wiki tu
 
Mzee wa busara. Daah lile goma linanikumbushaga niko maskuli o levo nililizimikaje!
 
adili ft domokaya na mandojo- peke yangu

fathernell- kipi dhambi kwa mwenye
dhiki

dj yusuph- mbele kwa mbele

kwanza unity- msafiri


hapa ndipo palipo kuwa na hip hop ya kweli na alie baki hadi sasa anaganya hip hop ya kweli ni fid q peke yake...
 
Asee mwenye link ya wimbo mmoja hivi aliimba mac 2b na jamaa flani hivi. "unaimba hivi" Mke wangu akiwa muhuni nyie inawahusu nini,
Nikilewa naangusha gari nyie inawahusu nini,
 
Ana miaka chini ya 18-Sugu,
Boss nipe Mshahara wangu - Wajamaa wa Mwanza,
KKZ- Sos B,
Mauzauza- Manzese Crew,
We Bishoo tu- Jay Mo,

Mauza uza si ya Gangwe Mob kweli? "Mauza uza haa mauza uza mambo zig zaga shagalabaghala"

Kukulu Kakala Zako Wewe Zitakuponza acha wee acha.
 
kama unataka kuja home baby sister duh anataka kuja home, bwana mkubwa na unique dadaz
 
Mauza uza si ya Gangwe Mob kweli? "Mauza uza haa mauza uza mambo zig zaga shagalabaghala"

Kukulu Kakala Zako Wewe Zitakuponza acha wee acha.

Hahahhaaaaa mkuu unanikumbusha amana vijana center inspector ndani ya sweta zito saa tisa mchana anqgombania kuimba bure amana vijana na akina chiba KG wa tbt na ilala zone hahaaaaa we kweli mkongwe kwny hiyo track gangwe mob yupo dogo side nasikia wazazi wake walimkataza mziki!'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom