Tujikumbushe Nyimbo kali za Bongo Fleva Zilizotamba zamani

Mchochezi

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
10,409
6,555
Habari wadau, kila kukicha wasanii wa bongo fleva wanaongezeka lakini hakuna cha maana wanachoimba zaidi ya kukopiana nyimbo, hebu tujikumbushe nyimbo za Bongo Fleva zilizotamba kipindi hiko. Mimi za kwangu ni hizi, Kamanda ya Daz Nundaz, Mtazamo ya Afande,Lover boy- Chege, Salome ya Dully. Karibuni tuendelee wadau
 
Barua daz nundaz..dar es salaam sugu na ngoma profesa kam piga makofi , ndio mzee bongo dsm na zingine zak zilikuwa hot
 
Habari wadau, kila kukicha wasanii wa bongo fleva wanaongezeka lakini hakuna cha maana wanachoimba zaidi ya kukopiana nyimbo, hebu tujikumbushe nyimbo za Bongo Fleva zilizotamba kipindi hiko. Mimi za kwangu ni hizi, Kamanda ya Daz Nundaz, Mtazamo ya Afande,Lover boy- Chege, Salome ya Dully. Karibuni tuendelee wadau

Yamenikuta ya GWM ft Sugu
 
wanakuita suguuuu,wanakuita suguuuuu,wanakuita suguuuu,su su sugu sugu,
wananita sugu aka mtu wa vurugu,hata mtoto wa dem wako ananiita anko sugu
 
anamiaka chini ya kumi na nane-2proud.kila nikimtazama atatazama chini sitamwita kwa jina nitamwita bint fulani,mchana mkikutana atakuita kaka na usiku mkikutana atakutaka sina hakika ameisha taka wangapi na ataua wangapi ana miaka chini ya 18.alizaliwa bongo na mara baada ya kuvunja ungo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom