Tujikumbushe majina ya utani ya walimu wetu...

BULLET,, Sababu =====Mfupi mnene.
PULIZA,, Sababu===== Anapenda kufukuza wanafunzi huyo.,
KENCHA,, Sababu=====Mrefu kupitiliza
 
Kuna mwalimu mmoja ilikuwa mfupi Sana halafu mbea mbea tukamwita kipande cha rula.
Mwalimu,mwingine ilikuwa mwembamba lakini anapenda kuji seal na vipensi aonekane mnene kidogo,Tukamuita komando vipensi.
Mwalimu mwingine ilikuwa anachapa sana tukampa Robot
Mwalimu mwingine wa math tukamwita Matrix
Wa biology tukamuita Mendel

Aisee Hapo mengi sana
 
Teacher wa Engrish primar
Mr Kengere ngapi ?

Aliturusha kichurachura kisa tulidharau kengere ya assembly asubuh dah huku anatuimbisha
Kengere ngapi ?
Tunaitikia moja

Tukampachika
KENGERE NGAPI
 
Teacher wa Engrish primar
Mr Kengere ngapi ?

Aliturusha kichurachura kisa tulidharau kengere ya assembly asubuh dah huku anatuimbisha
Kengere ngapi ?
Tunaitikia moja

Tukampachika
KENGERE NGAPI
Ha ha ha mlitisha sana!!
 
Shule ya msingi kuna mwalimu alikua anachapa mno tukamuita mwalim Segere.
Mmoja alikua anachapa mno ila kaungua mdomoni tukamuita uji wa mgonjwa.

O level kuna mwalimu alikua mfupi tukamwita mwalim Mwala.

Mimi ni bashite niliishia hapo hapo.
 
Wale mlosoma Mwanza secondary miaka hiyo . Alikuwepo mwalimu anaitwa Shija Michael ikabidi aitwe Ndondocha, togolai ak.a osmosis

Kinshuli. a.k.a Maujinga

Majula. a.k.a. Domain

Mgambo.

Seli mkumbo. a.k.a. Concentration
 
Kuna mwalimu anajua sana kusimamia mtihan yaani ata uibie vp lazima akuone tunamuita Snipper
 
Ss kuna mmoja huyo....kila sku suti yake ya kijani..tukamwita Tanesco
 
Wale mlosoma Mwanza secondary miaka hiyo . Alikuwepo mwalimu anaitwa Shija Michael ikabidi aitwe Ndondocha, togolai ak.a osmosis

Kinshuli. a.k.a Maujinga

Majula. a.k.a. Domain

Mgambo.

Seli mkumbo. a.k.a. Concentration
Kinshuli mzee wa mbio ndefuuu,pale Nsumba kuna kiumbe akiitwa Edward Bitulo,watu walimbatiza Jesus.Alikuwa hatari huyo mitaa ya wahuni yotee hadi kitintale alikuwa anatimba hata iwe saa nane usiku.Nasikia alisha RIP.
 
Back
Top Bottom