Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,447
- 8,420
wazungu,waarabu sio watu kabisa ni makatili. halafu ndio hao hao waliotuletea dini,na sisi tulivyokuwa wajinga tunaanza kubaguana.
Africa bado tuna safari ndefu
Mbona kuna utofauti kati ya dini na utumwa sema wewe hujaisoma na utumwa huujui hivyo lazima utachanganya mambo tuwazungu,waarabu sio watu kabisa ni makatili. halafu ndio hao hao waliotuletea dini,na sisi tulivyokuwa wajinga tunaanza kubaguana.
Africa bado tuna safari ndefu
well said! yaani hii mijitu ni mijanja mno! lakini hakuna lisilo na mwisho!wazungu,waarabu sio watu kabisa ni makatili. halafu ndio hao hao waliotuletea dini,na sisi tulivyokuwa wajinga tunaanza kubaguana.
Africa bado tuna safari ndefu
MWISHO GANI ??well said! yaani hii mijitu ni mijanja mno! lakini hakuna lisilo na mwisho!
mimi naona hiyo kauli yako ni ya mwafrika wewe tu! wenzio tumesha amka! jichunguze naona bado uko fofofofofoOnly africans do not know where they come from! This is why we have know idea where we are going
take a wild guess! barikiwa my friend!MWISHO GANI ??
Mbona kuna utofauti kati ya dini na utumwa sema wewe hujaisoma na utumwa huujui hivyo lazima utachanganya mambo tu[/QUOTE
.AU yapaswa kupiga marufuku kabis hizo dini zote za mashetani wazungu na waarabu!...period!
Umeniudhi mno!
Wao wameleta dini kwa kigezo cha upendo na amani lakini hao hao waliotuletea dini hawaifati hiyo dini yao wanatesa watu kila kukicha,wanaua watu kila siku.Mbona kuna utofauti kati ya dini na utumwa sema wewe hujaisoma na utumwa huujui hivyo lazima utachanganya mambo tu
Naona wewe una mahaba na ngozi nyeupe,umewahi kuona african wanavyo nyanyaswa uko INDIA?? wanavuliwa hadi nguo wanatembezwa uchi barabarani.Mwafrika ataendele kuwa mkoni tu kwani hizi nchi zetu bado zipo chini ya mataifa hayo yaliokuwa wakoloni zamani ila kwa sasa unabadilishiwa maneno na mfumo kuwa unatawaliwa huku unachekelea wale kina chifu mangungo walisaini mikataba ya ulaghai na sasa si ipo mikataba hiyo hapo dada yupo uchi lakini tunaona analazimishwa kabisa je kwa sasa hakuna wasichana wanaocheza uchi na kujiuza huku mkishadadia baikoko