Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

No challenge. Champion. Bazuu. Lang'ata. Imam. Ngorika. Rombo safaris. Rombo mwelekeo. Rombo investment. Air chalinze. Shabaa. Ttbs. Tahfif. Tawfiq. Bembea mtoto. Kwacha transport. Atlanta. Atlas. Hood limited.
 
Machame express.... Mbeya express.. Greenstar... Muro... Shabaha... Lucky star... Super sami.... Mastercity....
 
Ni mabasi gani yalisumbua enzi hizo, kwa mimi kuna Akamba yaliyokuwa yanatoka Dar to nairobi nadhani via Arusha, je wewe unakumbuka yapi? Karibuniii
 
Naikumbuka:
1 Kiswele (Scania) - Dar >> Songea - driven by Peter Chamtumavi miaka ya 1996, 97
2 Special Coach (Supu ya mawe) Dar >> Songea driven by John Africa - miaka ya 1995, 96,
3 Navalonge Swela (Leyland CD) - iringa >> Dar - miaka ya 1980s
4 Igominyi Bus (Leyland CD) - Njombe >> Tanga - driven by Peter Chamtumavi miaka ya 1980s
5 Juhudi Bus Service (Leyland CD) - Njombe >> Mbeya miaka ya 1984++
6 Malanzana - Dar >> Tanga >> Mombasa miaka ya 1986
7 Safina (Scania 82H) - Dar >> Arusha [ilifia mto Karanga Moshi] miaka ya 1986
8 Kwacha Transport Company - Iringa >> Dar, Iringa >> Njombe >> Songea, Iringa >> Mbeya >> Kyela
8 UBS Njombe >> Uwemba
9 KUTCO - Njombe >> ? driven by Mzee Mbugi
10 TEETEECO - Dar >> Songea Miaka ya 1970++
11 Tanzania Railways Cooperation ambayo kabla ya hapo ilifahamika kama East Africa Railways (chini ya Shirika la Reli)
 
Tanganyika bus service
Trans African
Amini Mungu Safarini
Haya mabasi yalikuwa maarufu sana mkoani Mwanza na mikoa ya jirani katika miaka ya 1970 na 1980.
 
Back
Top Bottom