Aliselema alija, hiyo nilifuatilia maana yake ni "Polepole ndio mwendo"
aisee sikujuaga maana yake
Aliselema alija, hiyo nilifuatilia maana yake ni "Polepole ndio mwendo"
Vile vile nakumbuka siku akija Mkaguzi shuleni zinachaguliwa daftari za wenye akili tu, ndizo zikaguliwe
huku za wajinga zikiachwa. ...................nimekumbuka mbali sana
shule ilikuwa raha tu. ku-march na school band, chakula cha mcha tena tofauti tofauti, michezo, kila kitu bure na kwa wingi, madarasa mazuri tena madirisha ya vioo. mara nyingi huota kipindi hicho!
kule mndeni mkuu tuseme migombani. kule mipango ilikuwa mizuri sana. serikali pia ilikuwa ikitoa kila kitu buremwenzetu ulisoma wapi?
mwenzetu ulisoma wapi?
mimi nakumbuka kipindi namaliza darasa la pili naingia la tatu, ulikuwa ndo wakati wa kuacha kuandikia kalamu ya risasi na kuanza kuandikia kalamu ya wino! wee! hiyo pen ilikuwa inateleza kwenye karatasi ni balaa! afu mwandiko unakuwa mbayaa!