Tujikumbushe kidogo Primary School.

Tujikumbushe kidogo Primary School.

Mamboz, unakumbuka nini ambacho huwezi kusahau kipindi ukiwa msingi?

Mwalimu alikua akitumia daftari langu la Hesabu darasa la sita na la saba kuwasahihishia wengine, niliamika nikawa "Answer Key"----1999-2000,
 
Mambo ya kuwahi namba na bakora za wachelewaji is a da.m.n sh.it memory lane!!!!
 
Kuna mwalimu alikuwa hajui zile hesabustd six. Alikuwa anapiga bakora si mchezo. Lakini nitamkumbuka daima mwl theonestina nduke mwl wa kingereza std 4 nilizipenda hasa hasa zile story za mr daud,mrs daud , na watoto wao asha na baraka. Alinitoa utandu machoni. Mungu amrehemu mwanga wa milele amwangazie. Amina
 
mimi nakumbuka kitambu cha english book 7 toleo la mwaka 1968

unit one;
KALAGESYE

Everybody in the village of ibigi knew Kalagesye
my own first memory of him went back to time when
i was a very small boy, my sister and i were going to our glandmother's house.

sunddenly we heard, Alealealealeaa1" sung in good voice
"Quick, let's hide in the bush1" hissed my sister.
'but what for?" I said.
"there's a madman coming," she replied.
'No, he's not mad. he's just singing

Ahee ! Kana ka nsungu, ka nsung' umwelu
Ahee1kana ka nsu..........

Hahahahaaaa... you remind me of them old good days, Kalagesye... It was a true story.
 
Da! yan mi nakumbuka mambo mengi kwel yan,

1:Nakumbuka std1 kuna ticha wetu mmoja ye alikua akiingia tu darasan, yani ni full kuwaimbisha nyimbo za kisukuma mwanzo mwisho, regardless unakijua/hukijui ilikua ni lazma uimbe. sasa we pga buyu wakati wenzio wanaimba,utaona balaa lake!!

2:Namkumbuka ticha wetu 1 wa hesabu std6 swali lilikua likimshinda anavunga cm imeita anaenda kuongea nje,kumuona tena mpaka keshooo na akija halirudii. sasa we jidai kisabengo kumkumbushia hlo swal,utaona moto wake!

3: Nakumbuka kale kawimbo ka"huyo huyo huyoo isike shujaa,huyo huyo huyooo mangimeli shujaa kwa sime na rungu kampiga mkoloni"
 
Kuna mwalimu alikuwa hajui zile hesabustd six. Alikuwa anapiga bakora si mchezo. Lakini nitamkumbuka daima mwl theonestina nduke mwl wa kingereza std 4 nilizipenda hasa hasa zile story za mr daud,mrs daud , na watoto wao asha na baraka. Alinitoa utandu machoni. Mungu amrehemu mwanga wa milele amwangazie. Amina

Daa! Ushasaha ni watoto Mr. & Mrs. Daudi ni Musa,Neema na Baraka, mjomba wao Mr. Adamu majirani zao........
 
Kuna mwalimu alinibadilishia nafas darasani. Nilikuwa wa kwanza lkn ye akamipa max za mwingine na kuniweka nafas ya pili mbaya zaidi mshkaj aliyempa nafas alikuwa ananipiga chabo na darasa zima lilijua hivyo daa nililia sana maana niliogopa mzee atanimind kuachia ngaz lkn aliniewa kwasababu karatas za mitihani zilibeba ukweli wa dhuluma niliyofanyiwa na kufichua nia ya mwalimu ya kunikatisha tamaa maana hata nilipompelekea mitihani yote hakufanya mabadiliko yoyote.Lakini bado nampenda mwl yule maana alikuwa mzur ktk somo la Kiingereza.
 
Mimi nilipenda wimbo wa mabata madogo madogo yanaogelea kwenye shamba zuri la bustani.
Kingine mwlimu akifa au amefiwa na mtu wke wa karibu kwenye familia mnaruhusiwa kwenda nyumbni mapema japo sasa naona ilikuwa akili ya kitoto sana.
 
Da! yan mi nakumbuka mambo mengi kwel yan,

1:Nakumbuka std1 kuna ticha wetu mmoja ye alikua akiingia tu darasan, yani ni full kuwaimbisha nyimbo za kisukuma mwanzo mwisho, regardless unakijua/hukijui ilikua ni lazma uimbe. sasa we pga buyu wakati wenzio wanaimba,utaona balaa lake!!

2:Namkumbuka ticha wetu 1 wa hesabu std6 swali lilikua likimshinda anavunga cm imeita anaenda kuongea nje,kumuona tena mpaka keshooo na akija halirudii. sasa we jidai kisabengo kumkumbushia hlo swal,utaona moto wake!

3: Nakumbuka kale kawimbo ka"huyo huyo huyoo isike shujaa,huyo huyo huyooo mangimeli shujaa kwa sime na rungu kampiga mkoloni"

Kumbe mkuu u kijana sana wakati unasoma primary mobile phone zilikuwepo.
 
Mfuko wangu wa sport wa kubebea daftari ulikuwa haukosi majarida ya sani, bongo na tabasamu, stori za john kaduma (r.i.p), fortunatus ndila, m.m.bawji n.k zilifanya niwe star clas kwa kusimulia! Namumiss captain mapung'o alivyopiga soka haijawah tokea, bifu la zena na betina dah mama betina alikuwa mwanga haijawahi tokea, jomba nchumali anapiga kona anafunga mwenyewe, chepe, lodilofa na mikwara ya mazoezi ya bush stars! Namiss sana!
 
haahaahaa nimemiss sana ugomvi

ilikuwa mmegonbana darasani watu wanawagombelezeaa utasikiaa tukitotaa class ...! haahaahaa after class sasa ngumi kwenda mbele

pala na weee×2........palanaa kwa wale wazee wa ngumi za mduaraa wanajuaa huo wimbo ...!

ukiwa monita class alafu mkudaa wewe kengele ya kuondoka kurudi home kwako ni tatizoo....!

way back GENIUS wa hisabati SHULE YA MSINGI YOMBO - ILALA(DSM)
 
Mfuko wangu wa sport wa kubebea daftari ulikuwa haukosi majarida ya sani, bongo na tabasamu, stori za john kaduma (r.i.p), fortunatus ndila, m.m.bawji n.k zilifanya niwe star clas kwa kusimulia! Namumiss captain mapung'o alivyopiga soka haijawah tokea, bifu la zena na betina dah mama betina alikuwa mwanga haijawahi tokea, jomba nchumali anapiga kona anafunga mwenyewe, chepe, lodilofa na mikwara ya mazoezi ya bush stars! Namiss sana!

Ufudu na babayake kwenye gazeti la sani
 
nakumbuka darasa la kwanza mwenzetu alipgwa na mwalimu tukamsindikiza darasa zima tulichezea stick wote, then kaka akanipaga counter limeandkwa London today na kifutio cha pink cha love kinanukia kwa nini wasiniibie kile kifutio nikaenda hadi kwa mwalimu nalia
 
nakumbuka bunge primary kitambo hicho tunaonekana sana shule ya mjini karibu na Ikulu dah Utoto raha sana.
 
Back
Top Bottom