Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,018
- 95,403
Volume ya nini we mtaalam wa HKL?Nusu x kitako x kimo = eneo la ∆
πr square h= volume
Volume ya nini we mtaalam wa HKL?Nusu x kitako x kimo = eneo la ∆
πr square h= volume
Volume ya nini we mtaalam wa HKL?
Na formula ya volume ya pipa la mafuta ikoje?Pipa la maji hahahhaa
Lala na hii:
Let Z=zα(μ+1) and f=Znμ+1, n≠0
Find Θα,μ
ni hiyo hiyo babu pipa si pipa tuNa formula ya volume ya pipa la mafuta ikoje?
Lakini wewe umesema pipa la maji...ni hiyo hiyo babu pipa si pipa tu
narekebisha kauli ni pipa tuLakini wewe umesema pipa la maji...
Hapo umerekebisha kauli au umetengua kauli?narekebisha kauli ni pipa tu
Newton's law/ accelerationV=u + at
D = Ut + 2at
S= ut + 1/2at2
Arithmetic progressionSn=n/2[2A1+(n-1)d]
Nilikuwa nakutana nayo additional mathematics, baadae A-level,Cos(A+B)= CosACosB-SinASinB Cos(A-B)=CosACosB+SinASinB Sin(A+B)=SinACosB+SinBCosA Sin(A-B)=SinACosB-SinBCosA
hahahaha vyovyote unavyoona sahihi babuHapo umerekebisha kauli au umetengua kauli?
Vote haviwezi kuwa sawa... jibu swali umerekebisha au umetengua kauli?hahahaha vyovyote unavyoona sahihi babu