Nyamesocho
JF-Expert Member
- May 5, 2023
- 476
- 1,244
Elimu yetu bado ni janga, kwa sababu kwa uchunguzi walimu wengi wa kike shule za msingi Tanzania hasa shule za serikali ni pasua kichwa
Kati ya watu wanaodidimiza elimu yetu ni walimu wa kike wa shule za msingi Tanzania
Walimu wa kike wanamambo mengi mnoo ambayo ni nje kabisa na ufundishaji
Shule ambayo ina walimu wa kike wengi uajibikaji ni zero , laiti walimu wa kike wa shule za msingi Tanzania wangefundisha kama walimu wa kiume hii nchi ingekuwa mbali saana
Shule za msingi mijini zimejazana walimu wa kike halafu utegemee ufaulu wa asilimia 90,never ever
Walimu wa kike wa shule za sekondari hawana shida, shida ni msingi tu
Serikali iangalie ile hili