Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Kuambiwa UMEDANGANYWA NA KUDANGANYIKA NA UNATAKA KUDANGANYAUna tatizo la kupaniki. Kuna swali hujalijibu mwisho.
Nimeonyesha encounter ya mimi na huo mstari ilipoanzia. Nimeeleza kwamba, kwa amri ya kwanza ilivyo hiyo ni maelezo ya ya kwanza.
Nimeuliza kama hiyo ikihesabiwa ni amri si zitakua 11? Kama zikiwa 11 mbona Musa mwenyewe alisema amri ni 10?
unasema napaniki?
Ok, ngoja niendelee kukufungua , ila tuwe wanyenyekevu, wala USITOKE NJE YA MADA , wala tusitoe lugha za matusi
AMRI KUMI ZA Mungu alizompa MUSA ZIPO KUMI, NA KANISA LA ROMA KWA KUSHIRIKIANA NA DOLA YA KIRUMI WALIZIBADILISHA hili lilisemwa na NABII DANIELI KUWA LITATOKEA (daniel 7:25)
Nakuleta kwenye hoja yako sasa ,kwanza yale sio maelezo NI AMRI KAMILI
TWENDE KWENYE BIBLE........
AMRI YA PILI KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:4-6
Usijifanyie sanamu ya kuchonga,
wala mfano wa kitu cho chote
kilicho juu mbinguni, wala kilicho
chini duniani, wala kilicho majini
chini ya dunia.Usivisujudie wala
kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana,
Mungu wako, ni Mungu mwenye
wivu; nawapatiliza wana maovu ya
baba zao, hata kizazi cha tatu na
cha nne cha wanichukiao, nami
nawarehemu maelfu elfu
wanipendao, na kuzishika amri
zangu
AMRI YA PILI KATIKA KATEKISIMU
Inasema
"Usilitaje bure jina la Mungu wako"
UMEONA UTOFAUTI TENA MKUBWA?
haya njoo na hoja nyingine....