Tujikumbushe Amri kuu za Mungu

Tujikumbushe Amri kuu za Mungu

Sawa sawa kabisa na kwa kadri unavyoweza kuchambua unaona 'Kutamani mke wa mtu mwingine' na 'Kutamani mali ya mtu mwingine' ni kitu kimoja?
SASA NDIO NARUD KUKUAMBIA UMEDANGANYWA

HIYO AMRI HAIPO FUPI FUPI HIVO,

MUNGU ameanza na hoja USITAMANI, halafu anaorodhesha vitu ambavyo hutakiwi kutamani

WAROMA WAKAIGAWA,
 
SASA NDIO NARUD KUKUAMBIA UMEDANGANYWA

HIYO AMRI HAIPO FUPI FUPI HIVO,

MUNGU ameanza na hoja USITAMANI, halafu anaorodhesha vitu ambavyo hutakiwi kutamani

WAROMA WAKAIGAWA,
Kwahiyo hiyo amri haiko fupi fupi au siyo?

Ila amri ya kwanza ni fupi 'Usiabudu miungu wengine ila mimi' halafu ya pili ndiyo ndefu?
 
Ngoja niandike kifupi.

Kwako wewe miungu wengine ni ipi?

Kwako wewe sanamu ni ipi?

Miungu wengine siyo sanamu?
Amri ya PILI inasema USICHONGE SANAMU,

JE KILA miungu inachongwa?

Sanamu ni miungu uliyochongwa, ila sio kila miungu INACHONGWA

USISOME JUMLA JUMLA

AMRI IMEANZA "USICHONGE SANAMU"

kitu ambacho waroma hawakupenda maana wanachonga sanamu
 
Kwahiyo hiyo amri haiko fupi fupi au siyo?

Ila amri ya kwanza ni fupi 'Usiabudu miungu wengine ila mimi' halafu ya pili ndiyo ndefu?
Hoja sio ufupi,

AMRI YA KWANZA NI KUTOKA 20:3

YA PILI INAANZA MSTARI WA 4

WAROMA AMRI YA KUMI AMBAYO NI KUTOKA 20:17

17 Usiitamani nyumba ya jirani yako, usimtamani mke wa jirani yako; wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala cho chote alicho nacho jirani yako.

WAMEIGAWA ILI ZITIMIE KUMI,
 
Amri ya PILI inasema USICHONGE SANAMU,

JE KILA miungu inachongwa?

Sanamu ni miungu uliyochongwa, ila sio kila miungu INACHONGWA

USISOME JUMLA JUMLA

AMRI IMEANZA "USICHONGE SANAMU"

kitu ambacho waroma hawakupenda maana wanachonga sanamu
Aroon ndiyo maana nakwambia una tatizo la kupaniki. Kama siyo hivyo ni unajua vitu vingi kiasi kwamba haujui wapi ukiweke kipi.

Kweli maswali 3 yanaonekana vyema unayazunguka kiasi hicho? Hebu jibu vizuri. Mfano jibu la kwanza andika tu miungu wengine ni Arnold au Mwanajeshi, sanamu ni magari n.k. jibu clear na fupi.

Kwako wewe miungu wengine ni ipi?

Kwako wewe sanamu ni ipi?

Miungu wengine siyo sanamu?
 
Hoja sio ufupi,

AMRI YA KWANZA NI KUTOKA 20:3

YA PILI INAANZA MSTARI WA 4

WAROMA AMRI YA KUMI AMBAYO NI KUTOKA 20:17

17 Usiitamani nyumba ya jirani yako, usimtamani mke wa jirani yako; wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala cho chote alicho nacho jirani yako.

WAMEIGAWA ILI ZITIMIE KUMI,
Hoja ya ufupi umeianza wewe.

SASA NDIO NARUD KUKUAMBIA UMEDANGANYWA

HIYO AMRI HAIPO FUPI FUPI HIVO,

MUNGU ameanza na hoja USITAMANI, halafu anaorodhesha vitu ambavyo hutakiwi kutamani

WAROMA WAKAIGAWA,

Katika kitabu cha Kutoka hakuna mahali iliyoashiria kwamba hapa sasa ndiyo mwisho wa amri ya kwanza tunaingia ya pili.
 
Kutoka 20

1 Mungu akanena maneno haya yote akasema,
2 Mimi ni Bwana, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.
3 Usiwe na miungu mingine ila mimi.
4 Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
5 Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
6 nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.
7 Usilitaje bure jina la Bwana, Mungu wako, maana Bwana hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure.
8 Ikumbuke siku ya Sabato uitakase.
9 Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote;
10 lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya malango yako.
11 Maana, kwa siku sita Bwana alifanya mbingu, na nchi, na bahari, na vyote vilivyomo, akastarehe siku ya saba; kwa hiyo Bwana akaibarikia siku ya Sabato akaitakasa.
12 Waheshimu baba yako na mama yako; siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na Bwana, Mungu wako.
13 Usiue.
14 Usizini.
15 Usiibe.
16 Usimshuhudie jirani yako uongo.
17 Usiitamani nyumba ya jirani yako, usimtamani mke wa jirani yako; wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala cho chote alicho nacho jirani yako.
Kwahiyo amri zipo 17 .. Amri ya mungu ni moja ambayo ni upendo
 
Aroon ndiyo maana nakwambia una tatizo la kupaniki. Kama siyo hivyo ni unajua vitu vingi kiasi kwamba haujui wapi ukiweke kipi.

Kweli maswali 3 yanaonekana vyema unayazunguka kiasi hicho? Hebu jibu vizuri. Mfano jibu la kwanza andika tu miungu wengine ni Arnold au Mwanajeshi, sanamu ni magari n.k. jibu clear na fupi.

Kwako wewe miungu wengine ni ipi?

Kwako wewe sanamu ni ipi?

Miungu wengine siyo sanamu?
Ndugu mbona unakimbilia kusema napaniki?

Nimekuuliza Amri ya kwanza inasema USIWE NA MIUNGU MINGINE

YA PILI

USICHONGE SANAMU...

kwanini unalazimisha ni kitu kimoja?

Nimekupa CODE ya kufungua ubongo wako, nimesema

Kuna miungu ,lkn sio kila miungu inachongwa ,HIVO USIACHE NENO "USICHONGE"

Na ndilo KANISA LA ROMA walilikimbia hilo neno USICHONGE SANAMU ii tu wachonge bila kuulizwa,

Wakaenda amri ya KUMI ambayo ipo FULL PACKAGE wakaigawa

Amri yenyewe hii hapa

17 Usiitamani nyumba ya jirani yako, usimtamani mke wa jirani yako; wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala cho chote alicho nacho jirani yako.
 
Ndugu mbona unakimbilia kusema napaniki?

Nimekuuliza Amri ya kwanza inasema USIWE NA MIUNGU MINGINE

YA PILI

USICHONGE SANAMU...

kwanini unalazimisha ni kitu kimoja?

Nimekupa CODE ya kufungua ubongo wako, nimesema

Kuna miungu ,lkn sio kila miungu inachongwa ,HIVO USIACHE NENO "USICHONGE"

Na ndilo KANISA LA ROMA walilikimbia hilo neno USICHONGE SANAMU ii tu wachonge bila kuulizwa,

Wakaenda amri ya KUMI ambayo ipo FULL PACKAGE wakaigawa

Amri yenyewe hii hapa

17 Usiitamani nyumba ya jirani yako, usimtamani mke wa jirani yako; wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala cho chote alicho nacho jirani yako.
Mh hatutafika kama ninachokuuliza hutaki kukijibu unakua unataka kuzunguka tu.
 
Hizi ni Amri zilizochakachuliwa na kanisa la ROMA ,

Watu maelfu mmemezeshwa amri zilizochakachuliwa na kuwekwa kwenye katekisimo, Zile Amri kumi ORIGINAL alizopewa musa pale SINAI, zipo kwenye biblia hata hamtaki kuzifatilia ,mfananishe na hizo za PAPA
ni zipi hizo sema sass
 
Hoja ya ufupi umeianza wewe.

Katika kitabu cha Kutoka hakuna mahali iliyoashiria kwamba hapa sasa ndiyo mwisho wa amri ya kwanza tunaingia ya pili.
Ni kwakuwa hujataka kusoma na kuelewa ,ila zinajieleza hii inaishia hapa na kuanza nyingine,

Haya tuubganishe bas hiyo ya miungu mingine na Kuchonga sanamu,

Mbona zitakuwa 9

Ya kumi itakuwa ipi?

Tumalize mjadala
 
Hiv nazunguka au umekomaa na kaneno kamoja?

Nimekuuliza Kila miungu ni SANAMU iliyochongwa?
Sasa natoa wapi wito wa kukujibu kama nimekuuliza swali moja mara nne, nimelirahisisha mara mbili na bado kujibu hutaki badala yake unaanzisha wewe maswali?
 
Nilisema mimi kua una tatizo la kupaniki, unaona umeniquote na kunijibu kitu kisichonihusu?
Mbona unakimbilia napaniki wakat mm nipo poa? Sijakuquote wewe, nimekosea nime quote wawili, sasa ndio kupaniki?
 
Sasa natoa wapi wito wa kukujibu kama nimekuuliza swali moja mara nne, nimelirahisisha mara mbili na bado kujibu hutaki badala yake unaanzisha wewe maswali?
Unajibiwa ila hutaki kukubali kwakuwa una majibu ya katekista

NAKUULIZA SASA WEWE ILI NIKUBALIANE,

KWAKUWA UNADAI AMRI YA USIABUDU MIUNGU NA KUCHONGA SANAMU NI amri moja (,ila hamsemi why NENO KUCHONGA SANAMU HAMLIWEKI)

TUKIHESABU ZITAKUWA 9,

YA KUMI IPO WAPI?
nataka nikufunge na mtego wako mwenyewe
 
Ni kwakuwa hujataka kusoma na kuelewa ,ila zinajieleza hii inaishia hapa na kuanza nyingine,

Haya tuubganishe bas hiyo ya miungu mingine na Kuchonga sanamu,

Mbona zitakuwa 9

Ya kumi itakuwa ipi?

Tumalize mjadala
Elewa.

Miungu wengine ni amri, maswala ya sanamu ni maelezo ya kucompliment 'Miungu wengine'

Ya kumi 'Usitamani mali ya mtu mwingine''
 
1.Usiabudu miungu wengine.
2. Usiape bure kwa jina la Mungu wako.
3. Shika Kitakatifu Siku ya Mungu wako
4. Waheshimu Baba na Mama, upate miaka mingi na heri duniani.
5. Usiue
6. Usizini
7. Usiibe
8. Usiseme uongo
9. Usitamani mwanamke asiye mke wako.
10. Usitamani mali ya watu.
Hizi ni amri za Roman Catholic Na Papa wenu mnayemuita mtakatifu. Za kwenye biblia zinapatikana katika kitabu cha Kutoka 20
 
Back
Top Bottom